Watu wa kanda ya ziwa hawana uelewa wa kuwepo kwa makabila mengine nchini

Ungesema baadhi ya watu maana hilo halipo huko tu ni popote utakapoenda huwezi kukuta kila Mtu ana uelewa wa kila kitu.

Ukienda Ungalimited Arusha ukasema unatokea Tandahimba Mtu akakuuliza ni wapi huko sioni kama ni la kukushtua hilo.
 
Wagogo Wametoa Spika ambae amesimamia kutungwa Kwa Sheria mbali mbali hapa nchini halafu unasema hawana impact.

moja wanaJF nilikuwa nawaheshimu ni huyu jamaa,ila hapo umeandika pumba na kama hujui Baba yako halisi ni mgogo ombaomba kamuulize mama ako
Haha hahah hah. Hapa JF, patamu sana. Watu huamka na moods mbalimbali, stress tuziondoe vipi?
 
Wanafahamu kuwa Tanzania tuna makabila zaidi ya 120?
 
Umenikumbusha, pale Ifunda Tech kila mwaka (form one) kulikuwa na wa kutoka Songea 6, na kati ya hao, 2 wanatoka Songea mjini, 1 anatoka Mbinga, 1 anatoka Tunduru na 2 wanatoka Songea vijijini..!! Sasa kulikuwa na mgawanyo unaofanana na huo toka Tanzania nzima..!! Hapo mtu lazima ujuwe makabila mengine
 
Ilisaidia sana ile kuvumiliana maana kila mtu anakuja na tabia zake na tamaduni zake,kuna wanafunzi wnakuja hata kutumia choo hawajui ila wanajifunza kwa wenzao,ilitusaidia sana
 
Sasa makabila yanawasaidia Nini wakazi wa Kanda ya ziwa Hadi wayafahamu, watu Wanahutaji huduma za za jamii zilizo Bora wewe unasema habari za makabira !!?

Watanzania bado tuna safari ndefu. Mimi hua sijui kabisa habari ya makabila wala sitaki kujua mtu ni kabila gani.

Hua nashangaa sana hata ofisini mtu anaweza kuja anauliza "yule jamaa mmakonde umemuona wapi?" Au "ofisi ya yule mluguru ni namba ngapi?" Utasikia "kuna mama mmoja mnyamwezi namuulizia". Mambo ya hovyo kabisa kwa karne hii..
 
Umekutan sukuma Gang
Zero form four unalegalized Kanda ya ziwa

Usiseme Lake zone sema nimekutana na Wasukuma Gang hawajui chochote hapo ina-sound vzr
 
Siku hizi mmeanza kuongelea makabila?
 
Hapo mtu lazima ujuwe makabila mengine

Mimi nadhani lengo lilikua sio kujua makabila mengine. Lengo lilikua ni KUFUTA ukabila ili ifike mahali sisi wote tutambulike kama WATANZANIA bila kujali mtu ametokea kabila gani. So far naona lengo lilifeli maana mpaka leo bado watu wameng'ang'ania kujitanabaisha kwa makabila yao.
 
Wanafahamu...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Inasaidia sana ngoja nikupe mifano mitatu,kuna idara moja nyeti serikalini imejaa makabila matatu maana hayo makabila ni waaminifu na wanajua kutunza siri.
JPM alizaliwa chato ambayo ilikuwa mkoa wa kagera ila baadae ikapelekwa geita,chato ingebaki kagera Jpm angeonekana ni mhaya asingekuwa na ushawishi,wahaya wanaigopewa sana
Ukitaka kuoa mke ni bora kujua kabila lake,mfano mwanamke wa kizaramo kila wiki ataenda ngomani,je uko tàyari kumpa ruhusa kila weekend?
 

Ndio maana nasema tuna safari ndefu. Hakuna kabila ambalo ni waaminifu hiyo ni dhana potofu. We nenda gereza lolote lililo karibu utakuta watu wa makabila yote wamefungwa mle.
 
Ndio maana nasema tuna safari ndefu. Hakuna kabila ambalo ni waaminifu hiyo ni dhana potofu. We nenda gereza lolote lililo karibu utakuta watu wa makabila yote wamefungwa mle.
Hivi uaminifu wa mpemba na mchaga ni sawa?
 
Hivi uaminifu wa mpemba na mchaga ni sawa?
Uaminifu ni tabia ya mtu, haina uhusiano na kabila. Wapo wapemba wezi kuliko wachaga na wapo wachaga waaminifu kuliko wapemba.
 
Uaminifu ni tabia ya mtu, haina uhusiano na kabila. Wapo wapemba wezi kuliko wachaga na wapo wachaga waaminifu kuliko wapemba.
Angalia majority
Kwenye ndoa wanawake wa kabila la waha wanadumu kwenye ndoa kuliko wazaramo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…