Watu wa kanda ya ziwa hawana uelewa wa kuwepo kwa makabila mengine nchini

Soma uzi vizuri,hao ni wasomi hususani waalinu ndio maana nikashangaa
Nafikiri ulitaka kuandika walimu.... Kioo Cha maarifa... ! Kazaliwa hapo, kasoma msingi hapo, sekondari ya kata hapo, advance hapo, chuo hapo.. ajira hapohapo... Lini atajua uwepo wa eneo zaidi ya "hapo" !!????
 
daaah kwhy wasukuma hawatujui sisu wangindo na super star wetu bambo
 
Hapo tatizo kubwa ni elimu.
Kama hawasoma usishangae wao kutokujua makabila mengine.

Hata Hapa DAR kuna watu ukiwauliza Wafipa au Wanyiha wanapatikana Mkoa gani watabaki wanakuangalia
Hayo makabila ngumu sana kujulikana hata kama umesoma
Umaarufu wa makabila unapotea siku hizi
Ukiwaambia watu wakutajie Makabila 10 watakaoweza hawatafika hata robo
 
Nikifika Shinyanga miaka ile, watu wazima kabisa wakawa wananishangaa mbona sijui kisukuma. Wengine wanauliza , hata kinyamwezi hujui?
Unaitwa mswahili[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Usukumani ndo mpk kesho wanaamkia watu waso kabila lao
 
Hapo tatizo kubwa ni elimu.
Kama hawasoma usishangae wao kutokujua makabila mengine.

Hata Hapa DAR kuna watu ukiwauliza Wafipa au Wanyiha wanapatikana Mkoa gani watabaki wanakuangalia
daaah kwhy wasukuma hawatujui sisu wangindo na super star wetu bambo
Wangindo ndio akina mama rwakarare au,ngumu sana kukutana na mngindo mtaani
 
Mimi kabila langu ni MGAGAGIGIKOKO, unalifahamu hili kabila?!
MGAGAGIGIKOKO ili kabila niliwahi kulisikia kipindi nasoma tuition mchikidown miaka ya 2011 kuna jamaa walikuwa wanaitwa kwa kabila hili MJOMBA Kim effect
 
Acha ubshi kabisa, mkuu. Mtoa mada ana exposure ndogo sana. alichokiandika kwenye uzi wake si cha kushangaza hata kidogo, kipo nchi nzima na dunia nzima.
 
 
Ni kweli hawajui kabisaaa! make ktk Ukombozi wa Bara la Africa, Kagera, UNO, OAU.... sehehmu zooote za ukombozi wa Bara hili wana mchango mkubwa, sana, ni Wakurya tuu! wameandikwa huko! Ndo walienda mstari wa mbele!

kwa hoyo wako sahihi wakajua wako wao tu!,
 
Uko kwenye kilabu cha Pombe gani mkuu?

Na kinapatikana kijiji gani cha wilaya ipi?
 
Hao wagogo na wasambaa wenyewe wanafahamu kama kuna wanyamwezi na wazanaki?
Wanajua ila kuna makabila ni aibu kubwa sana wao kujulikana km wao ni kabila flani! Mfano wajameni eti mtu ujiite Muha? yaani uchawi, miguu ilo pinda ushamba uchafu,

hayo hayo waaha,, ni majinga majinga ivi yasojua kiswahili, funza tu ndoa wanagonga kichwani! sijui, ujitaje kabila langu Muhaya,hapa sisemi saaana make wanangu hawa.............

au ujiite hadharani eti kabila langu Mzaramo mweee! wacheza ngoma za kizembe tena uchi,! wavivu, wana shindia maji eti wanaita chai ya rangi, hawana bidii za kazi,

wao ni kupigana miti tyuuu, mchana kweupe, na wako ivo, hawabadiriki na hawataki kusikia mabadiriko!...uchawi wao mdogooo!

Hapo ukitaja mie mzaramo, kila mtu lazima acheke ukumbini!! ...lkn ukisema mie Mkuryaa Weee! kimyaaa!! ......watu wanaona sura za Combat, wapiganaji wao, sura za JKT tupt,

zaidi wanaona sura ya Baba Baba wa Taifa hIyoooo!! ....utasikia sasa hivi kule Maaaara!!!!.......
wakombozi wa Bara la Africa! nzima!,....ukipima saaana mleta Mada ameiandika kwa adabu zoote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…