Watu wa Kanda ya Ziwa punguzeni au acheni utaratibu wa kuchanja chale

Wanaziita Nsalago . Aloo wasukuma wanachanja sana na hazina maajabu kabsaaa.

Wengine ni utamaduni wao kama wakurya,wamasaie ,wamakonde ila wasukuma baadhi wanachanja wale wacheza ngoma kama urembo. Wanaobakia ni yale mambo ya upande wa kienyeji hasa vijijini huko elimu inahitajika sana
Wanahitaji mabadiliko, hayo mambo wapunguze.
 
Kama kuna madude yanahama ukilala nao basi itakuwa umeyavagaa mengi sana.
 
sioni kama kuna sababu ya kuingilia mila na desturi za jamii husika,
kwasababu naamini hapa duniani kila jamii ina mila na deaturi zake!! na si muhimu kukashifu mila ya mwezio
 
Babu wa Babu yako Mzaa Babu yake kwa Babu yake Babu yako alikua anaabudu MIZIMU na alipigwa chale mpaka kwenye ulimi mpaka kwenye kichwa cha chini alipigwa chale sasa kizazi chake kimoja wapo ndio Wewe sauti ya kuzimu
 
Shemeji bwana kwahiyo watumie sindano? 😂😂😂

Itabidi waganga wapelekwe short course 🤣
 
Nikishakutana na Mwanamke mweupe au mweusi ana chale tumboni, sijui mgongoni au kwingineko nampiga mbata ya mgongo (Salala), akiniuliza nampigia nini nampiga mbata nyingine kisha namwambia kwenda kule...
😂😂😂😂 JF aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…