Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AJIHUDHURU?🥺🥺😂😂Husika na maada tajwa hapo juu,
Kutokana na Press ya Mh. Mbowe Leo imeonyesha kuwa Makam mwenyekiti yupo very irresponsible kwenye kutimiza majukumu yake, hasa kwenye masuala yanayohusu nidhamu ndani ya Chama, kwa heshima ilitakiwa baada ya speech ya Mh. Mwenyekiti, Lissu atangaze kuachia ngazi hiyo ndo demokrasia yenyewe.
Kwa hizo shutuma Mh. Lissu asahau kushinda uwenyekiti bora aepuke aibu mapema
Majukumu yapi?Kabisa yani, akiendelea kuwa chadema asitegemee kupata ushirikiano wwte katika majukum yake
Unadhani ikiwa usiku bongo basi duniani kote ni usiku pia?Subiri kupambazuke kwanza bado upo usingizini
Kiswahili ni kigumu.AJIHUDHURU?🥺🥺😂😂
hata akiachana na siasa unadhani chadema ya mbowe itashinda uchaguzi mkuu hapo mwakani? Kama ishu ni ccm kumbondea mbali lissu asipande juu kisiasa upinzani unaweza kuibuka kwingine hata nje ya mfumo wa vyama vya siasa na still ccm mkapata kibano heavy bila Lissu mnayemuogopaHusika na maada tajwa hapo juu,
Kutokana na Press ya Mh. Mbowe Leo imeonyesha kuwa Makam mwenyekiti yupo very irresponsible kwenye kutimiza majukumu yake, hasa kwenye masuala yanayohusu nidhamu ndani ya Chama, kwa heshima ilitakiwa baada ya speech ya Mh. Mwenyekiti, Lissu atangaze kuachia ngazi hiyo ndo demokrasia yenyewe.
Kwa hizo shutuma Mh. Lissu asahau kushinda uwenyekiti bora aepuke aibu mapema
Are you serious?Nadhani ndio wakati akiuguza majeraha ya risasi.Huyu ni Wakili toka mwaka 2018, na ameshinda Kesi tatu (3) tu.
mbowe kamua kuonyesha makucha yake.Kwisha habari yake
Msaliti Lissu hana chake huyo. Jiandae usije ukafa na stress nyumbu. DJ Mbowe ndio Mwenyekiti anayeendelea mpaka kifo chake! 🤣Tulia we mfuasi wa dhalimu magu, ndani ya cdm kuna demokrasia pana watu wanashindana kisiasa na sio kutegemea mbeleko ya vyombo vya dola.
Afadhali hata angewasilisha tuhuma zake ndani ya vikao vya chama kuliko alivyofanya.Hata mm nimeona ni mtu weak sana kwa kweli. Kitendo tu cha kutuhumu wezake ni sifa mbaya na ni ulaghai. Hafai hafai
Nasema hivi, tulia we mfuasi wa dhalimu magu.Msaliti Lissu hana chake huyo. Jiandae usije ukafa na stress nyumbu. DJ Mbowe ndio Mwenyekiti anayeendelea mpaka kifo chake! 🤣