Watu wa karibu na Tundu Lissu wamshauri ajiuzulu vyeo vyake vyote ndani ya chadema na kustaafu siasa

AJIHUDHURU?🥺🥺😂😂
 
Jamani sahizi malizieni usingizi tutaendelee na uzi badae mchana, naona watu wanauliza maswali hayaeleweki,
 
Ndiyo maana SATIVA kaamua kutumia lugha ngumu. Awali sikumuelewa, kumbe wajinga wengi sana humu.
 
Mke wa Lissu bila shaka anamengi sana ya kusema.Huyu jamaa ana maneno yanakera - sipati picha huko ndani kwa ndani alivyo - kama kwa nje yuko hivyo. Yaani yeye ni shutuma, kusema watu muda wote - utafikiri yeye ni mtakatifu..wakati yeye ni sehemu ya mfumo huohuo
 
hata akiachana na siasa unadhani chadema ya mbowe itashinda uchaguzi mkuu hapo mwakani? Kama ishu ni ccm kumbondea mbali lissu asipande juu kisiasa upinzani unaweza kuibuka kwingine hata nje ya mfumo wa vyama vya siasa na still ccm mkapata kibano heavy bila Lissu mnayemuogopa
 
Tulia we mfuasi wa dhalimu magu, ndani ya cdm kuna demokrasia pana watu wanashindana kisiasa na sio kutegemea mbeleko ya vyombo vya dola.
Msaliti Lissu hana chake huyo. Jiandae usije ukafa na stress nyumbu. DJ Mbowe ndio Mwenyekiti anayeendelea mpaka kifo chake! 🤣
 
Hata mm nimeona ni mtu weak sana kwa kweli. Kitendo tu cha kutuhumu wezake ni sifa mbaya na ni ulaghai. Hafai hafai
Afadhali hata angewasilisha tuhuma zake ndani ya vikao vya chama kuliko alivyofanya.

Inaelekea nia yake ni kuvuruga chama; wala si nafasi ya uenyekiti.
 
Msaliti Lissu hana chake huyo. Jiandae usije ukafa na stress nyumbu. DJ Mbowe ndio Mwenyekiti anayeendelea mpaka kifo chake! 🤣
Nasema hivi, tulia we mfuasi wa dhalimu magu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…