Watu wa Mama vichwa panzi! Bila HAKI mnapoteza muda pesa sio kila kitu!!!
Huwezi kushinda mioyo ya Watanzania kwa kutoa pesa kwa wapinzani , vyombo vya habari au viongozi wa dini wachache. Unashinda kwa kutoa HAKI bila kutoa HAKI mnapoteza muda na pesa za nchi hii. Watu wa Mama wanafikiri pesa za ufisadi za DP World hazitoshi kuhonga Watanzania kwa mamilioni. Kwasasa Watanzania wanajitambua hawafuati wanasiasa wanafuata HAKI.