Watu wa Musoma tukumbushane stori za Musoma kuanzia 2000-2010



Life is crazy!

It teaches you through memories ambazo hazifikiki kirahisi kwa ubongo wa kawaida!

#LifeIsAnIlussion
 


Misinformation is for real!!

Chief.....you are too ou of context!!

Kwamba nini????.......

Too funny [emoji23].........
 
Uyo inaoneka alileta ujuaji musoma wakamfanya kitu mbaya


Si kweli Chief!

Kaka yangu alikua / ni mkuu wa Anga za kitaifa + kimataifa za nchi za Africa na mipaka yake! (autos pace pro)

It seems like an Illusion and Reality at the Same time!
 
Alikua dereva pale manispaa then akawa dereva wa zima moto uyo uyo haha asee basi wewe ni mkongwe sana mtoto wake nimeskuli nae now kaolewa zanzibar
Hamna ni mkubwa sana hata kwangu ila kuna mazingira yalisababisha tukawa tunakutana kwenye kinywaji, alikuwa anapenda totoz na mm pia nilikuwa napenda totoz na vinywaji so advantage ya ile gari kurahisisha vitu ilisababisha tukiwa tunakutana nalipia vinywaji mara nyingi tu ila pia alikuwa mwenyeji kule na alikuwa anafahamika kushtua mabinti waje na kuniunga ilikuwa simple... nafikiri alinizidi hata 20yrs maana kulikuwa na kijana wake mkubwa kiumri hatukutofautiana sana..
 

Yah anao wawili mmoja anaitwa simba ndio mkubwa uyo nazani ana 35+ uko wa pili nae yuko age ya 28-30 ivi afu wanafata wakike wawili mmoja anaitwa Happy mwingine wa mwisho jina anaitwa Abiga kama sijakosea uyu naisi ana 17 au 16 na ndo kalikimbia nyumbani kwenda Zanzibar
 
Yah huyo mkubwa ni agemate wangu
 
Bila kuisahau JAMAICA MOKAS
 
Na pale soko kuu kulikuwa na sheikh mmoja ana duka kubwa sana alikuwa mzee alipenda sana kuwapa pipi watoto.
Unamsea mzee makumpira? Alikuwa ana duka la viungo na bidhaa za kiarab, alikuwa apendi kuulizwa bei na kupewa ela kwa mkono wa kushoto yeye anata ukifika dukan kwake sema unataka kitu cha shilingi ngap sio unaanza kuuliza kinauzwa sh ngapi tena
 
Nimemis ugali nyamachoma pale police canteen jirani na hospitali ya mkoa, wkend kuanzia ijumaa nyimbo za bakurutu zinaanza kupigwa mapema then vijana wanakuja kuimba, hapo ni kunywa mwanzo mwisho, wale wadada wahudumu akikukanyaga bahati mbaya utajuta maana ile sio miguu ni mawe ya kusagia nafaka.
 
pole sana asee huyo nyejoro kuna cku aliteka simu pale makaburin wananchi wakala sahan moja nae lkn pona yake ilikua ni police kufika mapema alifungwa gerezani sasa cjui kama bdo yupo huko ama alitoka ni muda kidogo cjamsikia

kuna mwingine anaitwa Toma Tx ulikua unamjua jamaa alikua kashindikana asee nadhani alikua mdomo wa furu.Kuna cku aliniteka pale mwisenge primary jioni jioni hivi walikua wengi hatari pona yangu ni kipindi ana nisachi nilimpiga ngumi nzito ya mdomo alivyoanguka nilitoka kama risasi kuelekea pale kanisa la wasabato bahati nzuri nikawaona wazee flani hivi wanaonge nikasimama katikati yao ndo wakaacha kunikimbiza.

Ila now msoma iko poa unaweza kutembea mpk sanane za ucku na usitekwe na wahuni ama vikundi.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
kati ya musoma na mara wapi kuna wajaluo wengi
 
kati ya musoma na mara wapi kuna wajaluo wengi

Musoma n wilaya, Mara ni mkoa.
Mkoa wa Mara kuna wilaya ya Butiama,Musoma, Tarime, Rorya, Mgumu na Bunda

Musoma wanapatikana wajita na wakwaya ( awa ukweli ni kua wanapenda umbea, majivuno, roho mbaya na ushirikina .

Butiama wanapatikana wazanaki ( kwa mwalimu hapa na mbunge wao alikua Nimlodi mkono

Tarime wanapatikana Wakurya wazee wa mahasira na mapanga, wajasiri asilimia 90 miaka ya 90 mpk 2000 walikua wanaenda sana jeshini kwasababu ya ushupavu wao.

Rorya hapa wanapatikana wajaruo na wakurya kwa asilimia fulani, wajaluo asili yao ni kenya hapa ndio utaona mila za mtu akifariki linapigwa disco na pombe, pia wako vzr kwenye maswala ya ulozi hawa

Mgumu hapa ni mchanganyiko mana ni njianya kuelekea serengeti ila jamii kubwa hapa ni waikizu na wakurya baadhi na makabila madogo madogo.

Bunda hapa napo ni mchanganyiko kuna watu wanatoka kibala ambao ni wakerewe, pia kuna wasukuma toka Mwanza, wajita pia wapo
 
shukrani mzee.nawapenda sana wajaluo itabidi nifike hapo rorya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…