Watu wa Musoma tukumbushane stori za Musoma kuanzia 2000-2010

Not cool to expose details kama hizi.
 
Umenikumbusha mbali sana mzee chibaland na mama tosapela
Enzi izo pale songe sekondari ndo ilikua shule ya wakorofi kuna jamaa alikua anaitwa DIBO alikua anatusumbua sana
 
VIMTO ilikufa kitambo sana baada ya Amir Panju kutangulia kwa Sir God, alikuwa rafiki ya mzee mmoja wa Makoko anaitwa Ayiemba (RIP) akimiliki miscania (Kiberiti) na mwenzao Chacha Mwita Gachuma (CMG). Uhujumu uchumi wa Moringe Sokoine ukapita nao, aliyefanikiwa kurudi barabarani ni CMG pekee huku wengine wakiwa hoi bin taabani. VIMTO ilikuwa soda poa sana.
 
Acha uongo na pennisura hotel utamuachia nan?
Dogo hajui kuwa matvilla haijafika hata miaka 15 au ndo inakaribia. Mh Mathayo Manyinyi kapangisha ile nyumba ya NHC kabadilisha kuwa hotel, parking yenyewe ikawa changamoto kweli. Msikiti wa jirani wakakataa kuhama kumuachia lile eneo afanye parking. peninsula was the best by then. Kwa sasa sijui ni ipi nzuri.
 
Mzee Mtaragara Chilangi hakuwa mtata, alikuwa mtu wa principals. Anafuata ratiba yake, mkimualika kwenye tukio kama mgeni rasmi hakikisha mnafuata ratiba. Vinginevyo mtamuona mtata.
Vipi mzee Kobas unamfahamu ? Na yeye alikua anaishi karibu na kamnyonge primary.
 
Vipi mzee Kobas unamfahamu ? Na yeye alikua anaishi karibu na kamnyonge primary.
Nanmfahamu, ingawa nina miaka mingi sana sijawahi kukaa huko zaidi ya kupita tu. wazee wengi wa miaka hiyo nawafahamu mkuu. Unamkumbuka Mazara, pesa ilimtembelea sana wakati wa biashara ya Sangara. Nilikuja kutana naye Kigoma miaka fulani yuko hoi kiuchumi
 
Me mwenyewe sikuwa mkaaji sana. Nilikua Nasoma Kenya, so zile likizo nilikua napenda kwenda kwa wazee sana.
Huyo mzee simfaham
 
Me mwenyewe sikuwa mkaaji sana. Nilikua Nasoma Kenya, so zile likizo nilikua napenda kwenda kwa wazee sana.
Huyo mzee simfaham
Hao madingi nimefanya nao mishe sana nikiwa kijana. Baadaye kaja jamaa mmoja anaitwa mwananfanga, aligawa simu sana kwa warembo miaka ya 2000 mwanzoni. Nyuma akaacha kilio na majonzi
 
Hao madingi nimefanya nao mishe sana nikiwa kijana. Baadaye kaja jamaa mmoja anaitwa mwananfanga, aligawa simu sana kwa warembo miaka ya 2000 mwanzoni. Nyuma akaacha kilio na majonzi
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Alikua na ukimwi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…