Watu wa Musoma tukumbushane stori za Musoma kuanzia 2000-2010

Hakuna wilaya ya musoma vijijini! Wilaya ni moja Musoma...so kuna wilaya 6
Nimeamua kugoogle wilaya za mkoa wa Mara na nimepata hii ramani inaonyesha wilaya saba na ndivyo kumbukumbuku inavyoniambia mkuu.
 
Nimeamua kugoogle wilaya za mkoa wa Mara na nimepata hii ramani inaonyesha wilaya saba na ndivyo kumbukumbuku inavyoniambia mkuu.
View attachment 1631934
Ukishaona rural na urban basi jua ni adminstrative district..hata tarime kuna urban na rural same as bunda(source yako ni Wikipedia ukiisoma imesema kuna wilaya 9 means bunda n tarime town inclusive ila kwnye raman azipo kozi zlikuja nyuma na raman za nchi znkua updated na wizara after every 10 yrs)...mkoa wa mara now una wilaya sita...ndio maana hakuna mkuu wa wilaya wa musoma mjini na wa musoma vijijin...yupo mmoja na kwnye uteuz anatambulika kama mkuu wa wilaya ya musoma anaitwa dr vincent..
 
Umeeleweka sana na unajibu kwa facts na ndivyo ilivyo, usiendelee kubishana nae hayo mambo waachieni Babu zenu wa Kigoma. Kubali yaishe.
 
ndio lkn mjaluo wa town [emoji3][emoji3]
Hahahaha, mjaluo ni mjaluo tu, nimekaa nao sana kule Shirat,i kuanzia hapo Utegi hadi Kabwana mimi mwenyeji sana. Hata wakiwa wa town hawaachi asili yao. Kamongo kwa mlenda ndo msosi pendwa, ugali wa muhogo ndio usiseme. Nyama choma na kichuri kwa sana. Nakumbuka pale Dar kulikuwa na kijiwe wanapika hivyo vyakula plus nyama iliyokaushwa (nyama singis) na bia kidogo, muda wa lunch na jioni wanajaa wajaluo tupu alafu hawaongei kiswahili. Kuna siku wakawa wanamteta dada mmoja wa kinyiramba alikuwa muhudumu pale, alikuwa mzuri ila miguu kama fito. Kumbe naye aliwahi kuishi kule ujaluoni (kirongwe), kijiwe kiliwaka moto balaa na watu wakaacha mpaka ugali na kamongo mezani.
 
Inawezekana uko sahihi mkuu, miaka yote naona ofisi zao pale Musoma mjini.
 
Ongeza na jamaika mokasi walikuwa mwisenge na nyakato
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila mzee wangu akutupeleka hom kwao tumekuja kwenda mwaka jana tena kwenye msiba wa bibi ambae ni mama ake
 
Wale wa 1980s ngoja niulize swali hapa kama mtakumbuka miaka ya 1980s Taifa lilipitia kiinfi kigumu kiuchumi

Hicho kipindi kulikuwa hakuna viberiti vilikuwa adimu sana sasa sharti likawa ni lazima kwenda kuchukua moto kwa chifuu wa wazanaki

Yaani ukiwa na moto wako unaazibuwa moto ni kwenda kuchukua kwa chifu Ihunya kule hivi walikuwa wanawaza nini?
 
Tusimsahau Mwl Mabamba wa Mkenendo p/s ,Majita road kwa Eddy mzee wa sinema ,Biafra NHC , shule yangu kamunyonge p/s bila kumsahau mwl Masanua,mauma,makilagi. Karume stadium fungulia mbwaa, diocese kwenye michezooo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila mzee wangu akutupeleka hom kwao tumekuja kwenda mwaka jana tena kwenye msiba wa bibi ambae ni mama ake
Kijiji gani hicho mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…