jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Utamaduni unaundwa na chakula,mavazi,Ibada,ndoa....mtume alipoanza kuhubiri uislam waarabu waliona ni kitu kipya tofauti na utamaduni wao, uislam unajitosheleza kuwa Mila/utamaduni kwa kuwa una muongozo kwenye vipengele vyote vya maisha,unauliza dini ya Mungu,mungu yupi!?..maksai wangu naowatumia kulima ni mungu wa wahindi,Isa mwana wa Maryam ni mungu wa wakiristo,babu zangu wa kale wakiabudu mizimu na mibuyu mikubwa,palikua na waabudu moto,jua ,nyota
Isa mwana wa Maryamu sio Mungu wa Wakristo.
Yesu wa Biblia na Isa bin Maryam ni watu wawili tofauti.
Isa mwana wa Maryam ni mtoto wa Binti wa kiyahudi, Maryam alimpata huyo mtoto bili kuingiliwa na mwanaume na alikua bikira,mtoto huyo alikuja na ujumbe wa mola wake kwa Wana wa Israel,alisakamwa ili asulubiww na auawe,Kama yesu siyo huyo sawa,Ila yesu ni mungu wa wakiristo
Huo ni msimamo wa wakiristo zamani,siku hizi yesu ni Mungu ndiyo maana hukuti mkiristo anayeomba Mungu Bali yesu,andiko la uungu mkuu wa yesu lipo,yesu alipozaliwa jina lake ni Emanuel,yaani mungu pamoja nasi,na Kuna andiko linasema kwamba kila goti lotapigwa na kila ulimi utakiri ya kwamba yesu ni Mungu mkuu
Vitu ulivyovitaja ni sehemu ndogo sana katika utamaduni ingawaje vipo katika utamaduni.Usijali, naomba unipe utofauti ufuatao:
1) Naomba unipe utofauti wa aina mbalimbali za ndoa zilizokuwa zinafanyika katika utamaduni wa kiarabu na ndoa za Kiislamu.
2) Naomba unipe utofauti wa mavazi ya utamaduni wa Kiarabu na dini ya Kiislamu.
3) Naomba unipe utofauti wa lugha ya Kiarabu ambao hupatikana katika utamaduni wa Kiarabu na lugha iliyotumika katika kitabu chenu kitakatifu.
4) Naomba unipe utofauti wa vyakula vinavyopatikana katika utamaduni wa Kiarabu na vyakula vinavyopatikana katika dini ya Kiislamu.
Samahani kwa usumbufu!!!!!!!!!!!!
Umekosea maandikoHuo ni msimamo wa wakiristo zamani,siku hizi yesu ni Mungu ndiyo maana hukuti mkiristo anayeomba Mungu Bali yesu,andiko la uungu mkuu wa yesu lipo,yesu alipozaliwa jina lake ni Emanuel,yaani mungu pamoja nasi,na Kuna andiko linasema kwamba kila goti lotapigwa na kila ulimi utakiri ya kwamba yesu ni Mungu mkuu
Umekosea MaandikoHuo ni msimamo wa wakiristo zamani,siku hizi yesu ni Mungu ndiyo maana hukuti mkiristo anayeomba Mungu Bali yesu,andiko la uungu mkuu wa yesu lipo,yesu alipozaliwa jina lake ni Emanuel,yaani mungu pamoja nasi,na Kuna andiko linasema kwamba kila goti lotapigwa na kila ulimi utakiri ya kwamba yesu ni Mungu mkuu
Wanapokua wenyewe wanakua wanatumia muda kukujadili na wakipeana mbinu za kuzidi kukupagawisha pale kila mmoja watakapokutana na wewe faraghaFafanua hii ndugu
Ebhana niaje ,, niko pemba mwezi wa Tatu huu sasa. Pemba ni Kamji kadogo kenye mambo yake ya kustahajabisha.
1. Wale dada zetu poa huku kuwapata ni kasheshe sanaa.
2. Pombe mpaka uende Messi huko kwenye ukumbi wa wanajeshi
3. Kupata Sigara pemba ni mtiti maduka yanayo uza fegi yanajulikana kabisa
4. Wanawake wakipemba hawaogopi Talaka kabisaaa.
5. Pemba maisha ni ghali sana.
6. Pemba hakuna migahawa local kama ile ya bara, na kama ipo inahesabika.
7. Pemba kutupiana vijini ndio issue,, yaan huku hawana habari za kutumiana wahuni,, yaani ni vijini tu.
8. Pemba polisi hawafanyi kazi kubwa sababu ni mji uko na Amani na watu wake wengi wana hofu ya mungu(Allah)
9. Pemba Samaki bei kuliko Singida😃
10. Pemba usipo kuja na mke utakufa na nyege ,, utapiga puli mpka akili ikukae
11. Wapemba hawapatani na Waunguja(paka na panya)
12. Pemba watu wa bara tunaitwa Wanyamwezi ,, yaani majitu fulani mahuni ,, hayamjui mungu. Kumbe hawajui chochote, zaidi ya kusoma Bidaa tu
13. Pemba hakuna kufeli mtihani wa darasa la sita( hivi sasa ndio wanasoma mpka darasa la saba)
14. Pemba shule inaitwa Skuli.
15. Pemba jojo au bablishi inaitwa Ubani.
16. Wanawake wa kipemba wanalafudhi tamu sana inahamasisha kwakweli,, ila ile lafudhi wanaume hawafai kuiongea.
17. Pemba wanawake wanasura nzuri ila robo tatu ni flat screen
♧UKIPATA MUDA TEMBELEA PEMBA
AiseeEbhana niaje ,, niko pemba mwezi wa Tatu huu sasa. Pemba ni Kamji kadogo kenye mambo yake ya kustahajabisha.

Ehee!!, hadi wewe Muheshimiwa "Sinza" kwenye hayo mambo huwa unafika ??![emoji57]
Hilo nalo tutaliangalia
Tutaliangalia kama siku moja moja huwa unafika sinza kwa ajili ya yale mambo pendwa au siyo??!! [emoji3][emoji3]
Nishawahi kuagiza ugali na samaki wa mchuzi mgahawani, aisee samaki kachemshwa katiwa embed tu ajapita hata kooniBaadhi ya mapishi,ya ngano na vitafunwa vingine,Mchele,Ila mchuzi wa Pemba utajuta kuujua
Kuwakomboa dhidi ya nani?....John 1:1-3,sishangai huiamini yesu Mungu kwa kuwa Imani yenyewe iko hivyo,mmegawantika,yesu ni Mungu aliyevaa utu akaja duniani kuwakomboa binadamu,hapohapo yesu ni mwana wa Mungu wa pekee aliyekuja kukomboa binaadam,hapohapo yesu ni mtume wa Mungu kwa wayahudi