Watu wa Pemba mnaweza vipi kuishi sehemu pagumu kama huku?

Watu wa Pemba mnaweza vipi kuishi sehemu pagumu kama huku?

Utamaduni unaundwa na chakula,mavazi,Ibada,ndoa....mtume alipoanza kuhubiri uislam waarabu waliona ni kitu kipya tofauti na utamaduni wao, uislam unajitosheleza kuwa Mila/utamaduni kwa kuwa una muongozo kwenye vipengele vyote vya maisha,unauliza dini ya Mungu,mungu yupi!?..maksai wangu naowatumia kulima ni mungu wa wahindi,Isa mwana wa Maryam ni mungu wa wakiristo,babu zangu wa kale wakiabudu mizimu na mibuyu mikubwa,palikua na waabudu moto,jua ,nyota

Sasa hao mitume katika usilamu walitokea wapi?hii dini ya mchongo sana asee,kumbe mudi ndio alikuwa wa kwanza kuhubiri habari hizo,
 
Isa mwana wa Maryamu sio Mungu wa Wakristo.
Yesu wa Biblia na Isa bin Maryam ni watu wawili tofauti.

Wajukuu wa mudi,wana inferiority complex,wazee wa kuiba manabii na mitume wa wayahudi na kujifanya wao,wakati uislam ulinzishwa na mudi akiwa ndio mtu wa kwanza kusilimu,
 
Ikipita ramadhani nitafute nikupe konektion ya vigori wadogo kabisa hapo Pemba, pesa iwe mfuko wa shati tu
 
Isa mwana wa Maryam ni mtoto wa Binti wa kiyahudi, Maryam alimpata huyo mtoto bili kuingiliwa na mwanaume na alikua bikira,mtoto huyo alikuja na ujumbe wa mola wake kwa Wana wa Israel,alisakamwa ili asulubiww na auawe,Kama yesu siyo huyo sawa,Ila yesu ni mungu wa wakiristo

Mayahudi wameingia vipi kwenye uislamu,wakati ndio maadui wa kwanza wa uslamu achilia mbali ukristo,kimsingi uslma ni dini yq mchongo,iliyoungwaungwa kwa kuiba historia na mitume na manabii wakiyahudi.
 
Huo ni msimamo wa wakiristo zamani,siku hizi yesu ni Mungu ndiyo maana hukuti mkiristo anayeomba Mungu Bali yesu,andiko la uungu mkuu wa yesu lipo,yesu alipozaliwa jina lake ni Emanuel,yaani mungu pamoja nasi,na Kuna andiko linasema kwamba kila goti lotapigwa na kila ulimi utakiri ya kwamba yesu ni Mungu mkuu

Mungu pamoja nasi amanake nini yani hata hilo jina tu halikufanyi uelewe Yesu alikua ni nani?

Acha kukaza fuvu,soma injili ndio utaelewa kuwa hakuna kufika mbinguni bila kupitia imani ya kikristo.
 
Vitu ulivyovitaja ni sehemu ndogo sana katika utamaduni ingawaje vipo katika utamaduni.Usijali, naomba unipe utofauti ufuatao:

1) Naomba unipe utofauti wa aina mbalimbali za ndoa zilizokuwa zinafanyika katika utamaduni wa kiarabu na ndoa za Kiislamu.

2) Naomba unipe utofauti wa mavazi ya utamaduni wa Kiarabu na dini ya Kiislamu.

3) Naomba unipe utofauti wa lugha ya Kiarabu ambao hupatikana katika utamaduni wa Kiarabu na lugha iliyotumika katika kitabu chenu kitakatifu.

4) Naomba unipe utofauti wa vyakula vinavyopatikana katika utamaduni wa Kiarabu na vyakula vinavyopatikana katika dini ya Kiislamu.

Samahani kwa usumbufu!!!!!!!!!!!!

Hana hoja huyo,kimsingi usilam sio dini bali ni falsafa ya utamaduni wa waarabu.
 
Huo ni msimamo wa wakiristo zamani,siku hizi yesu ni Mungu ndiyo maana hukuti mkiristo anayeomba Mungu Bali yesu,andiko la uungu mkuu wa yesu lipo,yesu alipozaliwa jina lake ni Emanuel,yaani mungu pamoja nasi,na Kuna andiko linasema kwamba kila goti lotapigwa na kila ulimi utakiri ya kwamba yesu ni Mungu mkuu
Umekosea maandiko

Umekosea Maandiko
Imeandikwa
Wafilipi 2:9-11
[9]Kwa hiyo tena Mungu(YHWH) alimwadhimisha mno(YESU), akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina;
Wherefore God also hath highly exalted him, and given him a name which is above every name:
[10]ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi;
That at the name of Jesus every knee should bow, of things in heaven, and things in earth, and things under the earth;
[11]na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba(YHWH).
And that every tongue should confess that Jesus Christ is Lord, to the glory of God the Father.
 
Ebhana niaje ,, niko pemba mwezi wa Tatu huu sasa. Pemba ni Kamji kadogo kenye mambo yake ya kustahajabisha.
1. Wale dada zetu poa huku kuwapata ni kasheshe sanaa.
2. Pombe mpaka uende Messi huko kwenye ukumbi wa wanajeshi

3. Kupata Sigara pemba ni mtiti maduka yanayo uza fegi yanajulikana kabisa
4. Wanawake wakipemba hawaogopi Talaka kabisaaa.
5. Pemba maisha ni ghali sana.
6. Pemba hakuna migahawa local kama ile ya bara, na kama ipo inahesabika.
7. Pemba kutupiana vijini ndio issue,, yaan huku hawana habari za kutumiana wahuni,, yaani ni vijini tu.
8. Pemba polisi hawafanyi kazi kubwa sababu ni mji uko na Amani na watu wake wengi wana hofu ya mungu(Allah)
9. Pemba Samaki bei kuliko Singida😃
10. Pemba usipo kuja na mke utakufa na nyege ,, utapiga puli mpka akili ikukae
11. Wapemba hawapatani na Waunguja(paka na panya)
12. Pemba watu wa bara tunaitwa Wanyamwezi ,, yaani majitu fulani mahuni ,, hayamjui mungu. Kumbe hawajui chochote, zaidi ya kusoma Bidaa tu

13. Pemba hakuna kufeli mtihani wa darasa la sita( hivi sasa ndio wanasoma mpka darasa la saba)

14. Pemba shule inaitwa Skuli.
15. Pemba jojo au bablishi inaitwa Ubani.
16. Wanawake wa kipemba wanalafudhi tamu sana inahamasisha kwakweli,, ila ile lafudhi wanaume hawafai kuiongea.
17. Pemba wanawake wanasura nzuri ila robo tatu ni flat screen

♧UKIPATA MUDA TEMBELEA PEMBA

Halafu hawajui kusema asante. Wakija huku bara ndugu zetu. Tukienda Zanzibar wako busy kukagua pass zetu, utafikiri kama sio watanzania tunaoishi pamoja Kigamboni, Kariakoo na Ilala.
Majanga matupu
 
Ebhana niaje ,, niko pemba mwezi wa Tatu huu sasa. Pemba ni Kamji kadogo kenye mambo yake ya kustahajabisha.
1. Wale dada zetu poa huku kuwapata ni kasheshe sanaa.
2. Pombe mpaka uende Messi huko kwenye ukumbi wa wanajeshi

3. Kupata Sigara pemba ni mtiti maduka yanayo uza fegi yanajulikana kabisa
4. Wanawake wakipemba hawaogopi Talaka kabisaaa.
5. Pemba maisha ni ghali sana.
6. Pemba hakuna migahawa local kama ile ya bara, na kama ipo inahesabika.
7. Pemba kutupiana vijini ndio issue,, yaan huku hawana habari za kutumiana wahuni,, yaani ni vijini tu.
8. Pemba polisi hawafanyi kazi kubwa sababu ni mji uko na Amani na watu wake wengi wana hofu ya mungu(Allah)
9. Pemba Samaki bei kuliko Singida😃
10. Pemba usipo kuja na mke utakufa na nyege ,, utapiga puli mpka akili ikukae
11. Wapemba hawapatani na Waunguja(paka na panya)
12. Pemba watu wa bara tunaitwa Wanyamwezi ,, yaani majitu fulani mahuni ,, hayamjui mungu. Kumbe hawajui chochote, zaidi ya kusoma Bidaa tu

13. Pemba hakuna kufeli mtihani wa darasa la sita( hivi sasa ndio wanasoma mpka darasa la saba)

14. Pemba shule inaitwa Skuli.
15. Pemba jojo au bablishi inaitwa Ubani.
16. Wanawake wa kipemba wanalafudhi tamu sana inahamasisha kwakweli,, ila ile lafudhi wanaume hawafai kuiongea.
17. Pemba wanawake wanasura nzuri ila robo tatu ni flat screen

♧UKIPATA MUDA TEMBELEA PEMBA
Aisee
 
Hao walioachwa talaka tatu mbona wapo wanalika kiulaini tuu, labda hujui passwords zao
 
John 1:1-3,sishangai huiamini yesu Mungu kwa kuwa Imani yenyewe iko hivyo,mmegawantika,yesu ni Mungu aliyevaa utu akaja duniani kuwakomboa binadamu,hapohapo yesu ni mwana wa Mungu wa pekee aliyekuja kukomboa binaadam,hapohapo yesu ni mtume wa Mungu kwa wayahudi
Kuwakomboa dhidi ya nani?....

Ina maana shetani ni mkubwa kuliko mungu? mpaka mungu amtoe kafara mwanaye kwa shetani?

Au Kuna mungu zaidi ya mmoja?
 
la mwanamke Pemba kweli dili hao jamaa awaoni hasara kumpa mwanamke laki kwa kila goli moja . Sifa bora kwao sio wabinafsi kama wa unguja
 
Back
Top Bottom