Watu wa Pemba mnaweza vipi kuishi sehemu pagumu kama huku?

🤣🤣Mkuu umepanda Sealink one au two,kama nakuona hapo nungwi unavyotoa macho,mess hapo kuna dada moja kibonge hivi alinipa hifadhi
 
Ustaarabu wa vyoo unakuwa kasi sana.
Hata wakojani wanajenga vyoo siku hizi
Mkuu inamaana walikuwa na utamaduni wa kunya baharini?

Ila pemba kwa vijini ni balaa yani wanatisha. Nilikaa kipindi fulani na mama wa kipemba alirudi kujifungua kwao aliporudi dar akakuta mume wake kaoa mke wa pili.

Alichofanya ni kurudi tena home akasema anakwenda kutengeneza mambo mumewe atamuacha huyo mke wa pili. Asee wiki 2 nyingi yule jamaa waligombana na mke wa pili akamfuata mkewe Pemba
 
Hiyo namba 10 ni hatari
 
Safi sana hii😅😅
 
Pemba 100% ya wadada ambao hawajaolewa ni bikra (upande wa mbele), lkn kwa nyuma hawana malinda.
Hivi mtu unakuja kuongea Ujinga kama huo, tena kwa asilimia 100% halafu huko pemba kwenyewe hujawahi kufika?labda tukuulize Una Mama,Dada,Shangazi na wengine nyumbani kwako?hujui unavyowatukana wanawake unawajumlisha na ndugu zako wa kike?
 
Huko visiwani madada poa wapo wengi tu hujui kuongea na watu vizuri ww. Nilifika pemba kipindi cha mfungo aloo nilipata tabu bahati nzuri nilikaa kama wiki mbili tu nikaenda unguja kidogo nikaona utofauti na ukitaka kuenjoy visiwani ww uwe na gari madem utawala maana huruhusiwi kuingiza malaya gesti na hoteli bei zimechangamka sio mchezo.

Visiwani jitahidi uwe na mtu ambae anaweza kukupangisha chumba ukamlipa kwa muda utakao kaa na uwe na ka usafiri hapo utaona kawaida sana maisha ya visiwani
 
Unamaanisha wanawake wa kipemba wanaweza kuliwa kabla ya ndoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…