Watu wa sheria mtusaidie hapa

Watu wa sheria mtusaidie hapa

Mtoto wa kiume unakuwa dhaifu dhaifu hivi ktk mambo ya usimamizi?

Mrithi alikuwa ni mama mtu na sio yeye. Na endapo mkaamua kumpa sehemu basi angalieni pia watoto wengine wa marehemu nao wapate. Chukua hiyo 10m igawe kwa watoto wengine wote wa marehemu maana wakijua mlimpa mmoja na wao hamjawapa inaweza ikaleta shida mbeleni.

Binti ameshajiona kasomi na mnamuogopa kwahiyo anajua kila anachosema basi ninyi mnahema.
Siku nyingine uwe unasoma nyuzi vizuri, hakuna pahala nimeandika marehemu alikua na watoto wengine. Shame on you.
 
Kiwanja kinauzika mapema saa1 kabla hata mwalimu wa hesabu hajafika shuleni.
Muda mwingine puguzeni ulokole huyo binti anawaongozahadi kupandisha uzi hapa yupo a level je akimalzia akasomea hizo sheria amabazo unaziomba hapa si atakuja kuuza hadi kwako mkuu.

HUYO HATA MGAO HASTAHILI KABISA KABISA NI HURUMA NA UTU BASI NDO ATEGEMEE PIA ASIPEWE YOTE HIYO KAMA ANAKIBULI MPENI SABA TU ZINGINE TUTUMIE HAPA MEMBERS TULIKUSHAURI MKUU
 
Habari.!

Nina kitu kimoja nataka nijue kutoka kwa wenzetu wa sheria.

Kuna kiwanja kipo maeneo ya Tegeta ambacho ni cha baba yetu ambae alishafariki miaka 20 iliyopita, aliacha watoto watatu, wa kiume mmoja ambae ni mimi na wa kike wawili.

Kwa bahati mbaya katika watoto wa kike, mmoja alifariki pia akaacha mtoto mmoja wa kike ambae yupo kidato cha sita. Kila mtoto ana mama yake.

Sasa kiwanja tunakiuza ili kila mmoja apate mgawo wake, sasa changamoto inakuja kwamba huyu mtoto wa dada yetu aliyefariki anapinga kisiuzwe tusubiri mpaka amalize masomo miaka mitano mbele huko.

Sasa je kisheria huyu mjukuu wa baba yetu ana nguvu ya kuzuia sisi tusiuze kiwanja? Maana kiwanja twauza 30m kila mtu atapata 10m. Kisheria imekaaje hii?
Mjukuu mbona anawaendesha hivo nani anampa huo ujasiri? 😜
 
Huyu dogo ni above 18 yrs. Sasa swala la yeye pesa atazipeleka wapi ni juu yake as long as sisi tumempa mgao wa mama yake ambao ni sawa na mgao wetu. Nilijaribu kumshauri pia kama walivyoshauri wadau wengine kwamba tumfungulie fixed account ili pesa yake ibaki kwa muda anaotaka yeye.
Yeye akagombee kwa baba yake mali na sio kuwaendesha
 
Labda nikujuze kitu kimoja, ukifanya maamuzi ya pupa kwenye masuala ya mirathi inaleta shida kubwa, hilo la kwanza, la pili mimi sio mwanasheria sijui chochote kuhusu mambo ya mirathi na kwa sababu hiyo ndo maana wakawepo wanasheria. La nyongeza, binti yetu huyu elimu aliyonayo ni ndogo sana ukilinganisha na elimu yangu na ya mdogo wangu, na kuwa na elimu kubwa haimaanishi ndo kujua sheria, ndo maana unakuta mtu ni profesa lakini anakwambia ana mwanasheria wake. Nimeleta huu uzi kwa watu waliobobea kwenye masuala haya nipate moja mbili za kisheria. Maamuzi ya mihemko sio mazuri
Kuna mambo basic kwenyw kila field mtu anatakiwa kuyajua
 
na mpaka hapa sijaona mwanasheria hata mmoja, ni heri ukasubiri msaada wa kisheria kwa sababu katika hali ya kawaida hamuwezi mkawa "ignore" tu watoto wa ndugu yenu.
au kisheria mwanamke hapewi urithi?
 
Kiwanja kinauzika mapema saa1 kabla hata mwalimu wa hesabu hajafika shuleni.
Muda mwingine puguzeni ulokole huyo binti anawaongozahadi kupandisha uzi hapa yupo a level je akimalzia akasomea hizo sheria amabazo unaziomba hapa si atakuja kuuza hadi kwako mkuu.

HUYO HATA MGAO HASTAHILI KABISA KABISA NI HURUMA NA UTU BASI NDO ATEGEMEE PIA ASIPEWE YOTE HIYO KAMA ANAKIBULI MPENI SABA TU ZINGINE TUTUMIE HAPA MEMBERS TULIKUSHAURI MKUU
Nimekupata mkuu
 
Habari.!

Nina kitu kimoja nataka nijue kutoka kwa wenzetu wa sheria.

Kuna kiwanja kipo maeneo ya Tegeta ambacho ni cha baba yetu ambae alishafariki miaka 20 iliyopita, aliacha watoto watatu, wa kiume mmoja ambae ni mimi na wa kike wawili.

Kwa bahati mbaya katika watoto wa kike, mmoja alifariki pia akaacha mtoto mmoja wa kike ambae yupo kidato cha sita. Kila mtoto ana mama yake.

Sasa kiwanja tunakiuza ili kila mmoja apate mgawo wake, sasa changamoto inakuja kwamba huyu mtoto wa dada yetu aliyefariki anapinga kisiuzwe tusubiri mpaka amalize masomo miaka mitano mbele huko.

Sasa je kisheria huyu mjukuu wa baba yetu ana nguvu ya kuzuia sisi tusiuze kiwanja? Maana kiwanja twauza 30m kila mtu atapata 10m. Kisheria imekaaje hii?
Huyo mkuu hana chake hapo, atakula shea ya mama yake, yaani mjukuu awaumize kichwa?

cha msingi shea ya mama yake msimdhurumu
 
Uhakika mkuu shea yake atapewa, sema anataka kujikoroga asije akakosa kabsa
 
Labda nikujuze kitu kimoja, ukifanya maamuzi ya pupa kwenye masuala ya mirathi inaleta shida kubwa, hilo la kwanza, la pili mimi sio mwanasheria sijui chochote kuhusu mambo ya mirathi na kwa sababu hiyo ndo maana wakawepo wanasheria. La nyongeza, binti yetu huyu elimu aliyonayo ni ndogo sana ukilinganisha na elimu yangu na ya mdogo wangu, na kuwa na elimu kubwa haimaanishi ndo kujua sheria, ndo maana unakuta mtu ni profesa lakini anakwambia ana mwanasheria wake. Nimeleta huu uzi kwa watu waliobobea kwenye masuala haya nipate moja mbili za kisheria. Maamuzi ya mihemko sio mazuri
Sawa mkuu nmekuelewa, kila la heri ktk huu mchakato wenu ila binti anapaswa kujua kwa uzito kabisa kwamba yeye hayupo kwenye familia yenu, atambue kwamba familia mna usimamizi wenu na mna maamuzi yenu ninyi kama ninyi yasioyoingiliwa wala kupangiwa na mtu yeyote yule.
 
Uhakika mkuu shea yake atapewa, sema anataka kujikoroga asije akakosa kabsa
Ha ha ha ha ha mkuu wewe mpe hata 2m tu au 3m hiyo 10m yote ya nini? Kwanini hizo 8m usinunue boda hata 2 au 3 au lah ufungue ofisini yeyote ikuingizie hata 10,000 kwa siku?

Huyo binti akikua usidhani kwamba atakumbuka mazuri yenu mkimpa hiyo 10m, save this date nakwambia haya. Dunia imebadilika sana saaana.
 
Upo sahihi mkuu.!
Binafsi mimi ndo nataka hiki kiwanja kikiuzwa kwa bei yoyote ile, itagawanywa sawa kwa watu watatu. 30m kila mtu 10m, shida imekuja kwamba yeye anakataa eneo lisiuzwe na mwanzoni niliongea nae akakubali nikatuma nauli ili aje huku dar maana yupo mwanza sengerema. Cha ajabu shangazi yetu anaekaa nae akamwambia kwamba, kitu chochote nitakachomwambia akatae, na huyo shangazi kwa upande wangu na mdogo wangu tatuelewani naye. Ndo maana nikaona hili swala tulipeleke kisheria. Lengo langu sio kumdhulumu huyu dogo, atapewa haki yake kama sisi.
Kwenye mauzo dogo hausiki, unamwita wa nini, kwani nae ni signatory hadi mshindwe kuuza bila yeye!? Nyie uzeni mpeni chake!!
 
Yeye sio msimamizi wa mirathi ila tunachokifanya sisi ni kwamba tunataka tumgawie fungu la pesa kwa niaba ya mama yake aliyefariki ambae ni dada yetu.
Mtafutieni mshauri mzuri. Ni kweli ana hoja maana ana wasiwasi atapoteza pesa yake haraka.
Anaweza akaweza UTT au kwenye fixed account huko baada ya miaka mitano atumie pesa yake.
 
Back
Top Bottom