Watu wajinga ndio wanaoa na kuzaa: Akili kubwa ni kinga dhidi ya ndoa na uzao wa hovyo

Naona bodaboda washaingia kwenye kundi la vijana wa hovyo kama wezi na wadangaji, lakini una hoja. Watu wazae wakiwa na uwezo wa kumudu gharama za malezi na kumtengenezea mtoto mustakabali mzuri wa maisha yake. Ni bora kufa bila kuwa na mtoto kuliko kutengeneza chain ya umasikini hapa duniani
 
 
Mwanamke ambaye Hana biKra zote mbili unawezaje kumuoa na kumuweka ndani????
 
Hata Uzao wako pia utasahaulika tu na generations za mbele baadae
 
Sasa Binti wa kimanyema,ilikuaje ukamlaumu Dudu baya kwa kutokua na mke wala mtoto?

JF VAR CHECK

 
Kwani asingezaliwa angepata hasara gani?

Faida ya kuendeleza uzao ni ipi kwa anayezaa na anayezaliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…