Watu wakimya (introverts) mnapataje marafiki wa kawaida ukubwani?

Buno njoo tuzoeane na mimi mwanamke...
 
Buno njoo tuzoeane na mimi mwanamke...
Mi utanichoka tu maana mara nyingi nainjoy zaidi kukaa peke yangu.naweza kuwa kwenye kundi la watu hata watano na kuendelea na bado ukaniona nipo tu mwenyewe mwenyewe hata kama tupo meza moja.maneno mi huwa yanaishaga.tunaweza piga story mbili tatu baada ya muda ukashangaa nipo kimya
 
Mi kukaa mwenyew sku nzima na sm yangu ikiwa na bando huwa najihis amani sana,nachoka kukaa na watu

Nikizeeka nitaishi polini na vijana wawili tutafanya shughuli za kilimo na kula bata huko porini
 
Duuuuh asikwambie mtu mimi kuna wakati hadi nilionekana sio mzimaa kabisaa kumbe bana mambo mengine ni kuwapa elimu watu waelewe watu wako tofauti.

NB. Mara nyingine kujumuika na watu kwa jamii kuna faida sana.INTROVERT WELCOME HOME
 
Kumbe ni watu ambao tunafahamika kabisa, ila ahsante Mungu coz at another side naepukana na meng
 
Kumbe ni watu ambao tunafahamika kabisa, ila ahsante Mungu coz at another side naepukana na meng
Shughuli inakuja jamii inakuchukuliajee...
1.kiburi
2.jeuri
3.tabia tuu
Au vipi tenaa......elimu+maarifa ni nzuri
Mi wengi wanasemaga nina kiburi na madharau maana naweza kuwa tunakutana na wewe mara kibao tu hata zaidi ya miezi kazaa na nisijui hata jina lako wala nisiulize na hata number zako nisi zisave
😹😹hatari sana alafu hustuki wala nini kawaida kwako ndo maana watu wa hivi wakipitia hali Fulani ikawaumiza huwa ni wabaya tena shetani anakaa pembeni......NI WANYAMAA SIO MCHEZO
 
Hahahah! mfano mimi ni mpole halafu sio muongeaji huwa najaribu sana kujilazimisha niwe muongeaji lakini wapi imeshindikana. Nimeamua tu nikubari yaishe ingawa muda mwingine hii hali huwa inanitesa, nyumba niliyopanga nimezoena na watu wawili tu tena na wenyewe ni watu ambao tupo wote kozi moja.
 
Shughuli inakuja jamii inakuchukuliajee...
1.kiburi
2.jeuri
3.tabia tuu
Au vipi tenaa......elimu+maarifa ni nzuri
Mkuu nachoshukuru kwa tabia yang hii (kwa jinc nilivyo) kwakuwa simuathiri mtu kwang sion ttzo kabisa
 
Kaka wewe auna utofaut na mimi kabisa yani tunaweza tukapiga story vzr sana tena muda mwingi ila nikisimama hapo bac atuzoeani tena ni salamu bac kila mtu anaendelea na maisha yake
 
Binafsi mambo ya u-introvert nilikuwanayo miaka mingi iliyopita kujifungia ndani kutwa nzima plus hakuna kuongea hata na majirani nikaona ufala tu huu dili nyingi za pesa zinanipita baada ya hapo nika-change fasta Sana.
Wewe ukua u-introvent ukiwa u-introvent uwez badilika kirahisi hivo
 
Mimi kiukweli natamani sana kua na marafiki lakini nashindwa jamani kumantain the friendship hata sijui kwa nini!? nna marafiki wawili tu tena wapo mbali na tunawasiliana kila siku, yaani huaga najitahidi kutengeneza marafiki ila vinashindikana kabisa nimeamua kuachana na hayo mambo,though kuna mda natamani kutoka ila najikuta sina company mme 2angu kajitahid sana kuniconect na watu ila vimeshindikana niko napambana na hali yangu.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Marafiki kwa Introverts ni mzigo,umeshasema wako independent,wanajitegemea mara nyingi kwa kila kitu na wanafurahia kuwa vile,kwahiyo usifikiri wewe kuwa na marafiki wengi ndio unafurahia maisha,unaweza kukuta mwenzio ndio anaye furahia maisha kuliko wewe...
 
Wewe ni jinsia gani mkuu
 
Reactions: naa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…