Watu wanaamini kuna Mungu na shetani kwa sababu kuamini ni rahisi kuliko kufikiri

Yaani kivyovyote vile uwe umerudi au unaenda, bado haiwez kuthibitisha kuwa mungu yupo, yaani jibu la alieanzisha ulimwengu ni mungu ni uongo, la sivyo nivitu vya kufikirika tu,
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna ubaya gani Mtu akifa?

Na kuna uzuri gani Mtu akiishi?

Kipi kinafanya uone kuishi ni Bora kuliko kufa?
 
Hivi kuna ubaya gani Mtu akifa?

Na kuna uzuri gani Mtu akiishi?

Kipi kinafanya uone kuishi ni Bora kuliko kufa?
Kifo kinaleta huzuni kwa kupoteza nguvu kazi na watu muhimu kwenye nyanja mbalimbali za kifamilia, kijamii na kitaifa.

Watoto wanakosa wazazi wao wa kuwasaidia malezi yao na kubaki yatima.
 
Kifo kinaleta huzuni kwa kupoteza nguvu kazi na watu muhimu kwenye nyanja mbalimbali za kifamilia, kijamii na kitaifa.

Watoto wanakosa wazazi wao wa kuwasaidia malezi yao na kubaki yatima.
Okay,.Kifo pia kina faida zake nyingi Tu,......Wewe umeamua kufocus na hasara za kifo,.vipi kuhusu faida za kifo?

NB:- Uhai&kifo vyote hivyo vina faida na hasara. Both are scary & exciting!
 
Kufikiri tofauti kunahitaji utulivu wa akili.
Binafsi sioni ufikiriaji maana inajulikana toka enzi na enzi kuwa kuna wenye kuamini Mungu na wenye kudai hakuna Mungu, hivyo hakuna cha ajabu hapo kwa mtu kuamua kufuata upande wa wenye kudai hakuna Mungu hadi nione kuwa ni ufikiriaji tofauti.
 
Kifo kinaleta huzuni kwa kupoteza nguvu kazi na watu muhimu kwenye nyanja mbalimbali za kifamilia, kijamii na kitaifa.

Watoto wanakosa wazazi wao wa kuwasaidia malezi yao na kubaki yatima.
Hivi unakubali kuwa kufa ni lazima?
 
Watu wanamkataa Alie waumba kweli wanadamu vibuli sana lakini ipo siku atajua kama yupo Mungu akitaka atajua
 
Hivi haujaelewa nini hapo? Sasa kama umesema rais anakaa ikulu na ukaenda haujaikuta ikulu utawaza nini.?
Hapo kuna Rais na kuna Ikulu, ni kweli makazi ya rais ni ikulu ila kwa nini tufikiri kuwa isipokuwepo ikulu na uwepo wa rais unapotea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…