Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuwa nini?

Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuwa nini?

Akuna cha Coca wala Pepsi mkuu ......acha kumdanganya huyu dogo ....
Naona mmiliki wa kiwanda cha COCACOLA / COCA CORA umejitokeza rasmi.

COCA CORA sio soda ni uchafu wenye MASUKARI GURU.

Ni kama kinyesi kilichowekewa asali, isipokuwa hiki ni kinyesi chenye sumu zingine kali zaidi katika mchanganyiko wa MASUKARI GURU.
 
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.

Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
acha Kvant
 
Naona mmiliki wa kiwanda cha COCACOLA / COCA CORA umejitokeza rasmi.

COCA CORA sio soda ni uchafu wenye MASUKARI GURU.

Ni kama kinyesi kilichowekewa asali, isipokuwa hiki ni kinyesi chenye sumu zingine kali zaidi katika mchanganyiko wa MASUKARI GURU.
Umiliki wa kiwanda kivipi mkuu tuko serious...Nikupe tu mfano mdogo mbona unaishi na umeme ndani kwako ni hatari lakin its depends on how you use it....Sasa wewe ulivyo define Coca it's like ni Massive Destruction...Ongea Kwa Fact na Consideration mkuu.
 
Mwaka juzi nilienda tanga nilishangaa sana,unakuta mtu ana watoto wengi na kwa muonekano ana miaka 30-35 ila eti ananisalimia mimi kijana mdogo wa miaka 24,sasa nipo kweny mkoa wangu zile salam hamna tena nasalimiwa na wadogo zangu 23 kushuka chini
 
COCA CORA ina CAFFEINE ambayo imo kwenye KAHAWA pia.

Shida ni kwamba COCA CORA ina CAFFEINE pamoja na MASUKARI GURU na MAKEMIKALI MENGINE ya ajabu ajabu.
Wanasayansi na tafiti zao nyingi wanaafiki. Ila huyu kijana mzee, sidhani kama ana tatizo la Coca Cora. Amebarikiwa tyu. anapaswa ana Run tell dat
 
Umiliki wa kiwanda k lakin its depends on how you use it....Sasa wewe ulivyo define Coca it's like ni Massive Destruction...Ongea Kwa Fact na Consideration mkuu.
Kiingereza hakisaidii.

COCA CORA inazeesha mbaya sana, unakuwa kijana mwenye uso wa kikongwe.

Na zaidi inavuruga BLOOD PH, damu inajaa matakataka matupu na MASUKARI GURU.
 
Acha bangi

Haya majani ya Arusha ni ya ajabu sana

🔹Mtumiaji wa majani haya sura hukongoroka na kukomaa Sana na hata kama ni kijana mdogo huonekana kama ni Mzee mstaafu( mfano angalia vibaka wa mjini)

🔹 Mbaya zaidi Mtumiaji wa majani hayo haramu huendelea kujiona kijana kwa Mavazi, kutembea, na hata kuongea hata akifikisha miaka 80 yeye kuendelea kuwa kwenye vijiwe vya watoto wa miaka 20 huku Kila kitu akifanya kitoto kitoto

ACHA BHANGI
 
Back
Top Bottom