Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #81
Situmii chochote hapo, hatakama ningekuwa natumia pia nisingekubali vya ofa.Acha bangi,viroba na pombe za ofa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Situmii chochote hapo, hatakama ningekuwa natumia pia nisingekubali vya ofa.Acha bangi,viroba na pombe za ofa!
Naona mmiliki wa kiwanda cha COCACOLA / COCA CORA umejitokeza rasmi.Akuna cha Coca wala Pepsi mkuu ......acha kumdanganya huyu dogo ....
Sawa ntajitahidi kupunguzaok automatic unastress na ndio zimekuzeesha punguza stress
Sigara je?Situmii pombe wala Sikai kwenye vilabu vya pombe
COCA CORA ina CAFFEINE ambayo imo kwenye KAHAWA pia.Safi sana hunywi pombe ila kahawa nayo inaweza kuchochea muonekano wa ngozi yako kuonekana una ka uzee fulani
Ndio Baraka zenyewe hizo. Enjoy life, majibu unayo.Kuna mzee mmoja niliwahi muuliza hivyo, akaniangalia akasema ni kwasababu ya utofauti mkubwa nilio nao na vijana wengine wa rika langu. Nikamuuliza ni tofauti zipi akasema namna ninavyo ongea na appearance yangu kwa ujumla.
acha KvantNimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
Sigara sivuti wala bangi sivuti.Sigara je?
Umiliki wa kiwanda kivipi mkuu tuko serious...Nikupe tu mfano mdogo mbona unaishi na umeme ndani kwako ni hatari lakin its depends on how you use it....Sasa wewe ulivyo define Coca it's like ni Massive Destruction...Ongea Kwa Fact na Consideration mkuu.Naona mmiliki wa kiwanda cha COCACOLA / COCA CORA umejitokeza rasmi.
COCA CORA sio soda ni uchafu wenye MASUKARI GURU.
Ni kama kinyesi kilichowekewa asali, isipokuwa hiki ni kinyesi chenye sumu zingine kali zaidi katika mchanganyiko wa MASUKARI GURU.
Thanks Brother 🤝🙏Ndio Baraka zenyewe hizo. Enjoy life, majibu unayo.
Karibu JF
Nishasema kitu ninacho tumia kwa sana ni Kahawa na kashata tu. Situmii pombe sina yoyote ile.acha Kvant
Wanasayansi na tafiti zao nyingi wanaafiki. Ila huyu kijana mzee, sidhani kama ana tatizo la Coca Cora. Amebarikiwa tyu. anapaswa ana Run tell datCOCA CORA ina CAFFEINE ambayo imo kwenye KAHAWA pia.
Shida ni kwamba COCA CORA ina CAFFEINE pamoja na MASUKARI GURU na MAKEMIKALI MENGINE ya ajabu ajabu.
basi punguza kahawa. Caffeine inazeesha.Nishasema kitu ninacho tumia kwa sana ni Kahawa na kashata tu. Situmii pombe sina yoyote ile.
Kiingereza hakisaidii.Umiliki wa kiwanda k lakin its depends on how you use it....Sasa wewe ulivyo define Coca it's like ni Massive Destruction...Ongea Kwa Fact na Consideration mkuu.
Mavazi yangu ya kawaida ila sivai kibishoo, navaa official muda mwingi. Huenda yaweza kuwa sababu pia.Angle,
Ambayo haija zungumzwa Ni
UPANDE WA MAVAZI
Angalia uvaliaji wako mkuu😊😊😊😊
Ntajitahidi kaka, pia nitafanya uchunguzi zaidi kuhusu Caffeine.basi punguza kahawa. Caffeine inazeesha.
Tunazeekaga kwanza alaf tukipata pesa tunarud ujana 😊😊Wanasayansi na tafiti zao nyingi wanaafiki. Ila huyu kijana mzee, sidhani kama ana tatizo la Coca Cora. Amebarikiwa tyu. anapaswa ana Run tell dat