Watu wanamhurumia Tundu Lisu kwa sababu alifukuzwa ubunge baada ya kushambuliwa kwa risasi !

Kinachoendelea kwa sasa kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu ni huruma ya wananchi kwa vile alifutwa kazi ya ubunge akiwa kwenye matibabu.

Ni vema hili likaeleweka huruma ikizidi inamfanya anayehurumiwa aonekane ni mtu maarufu hata kama hana umaarufu.
Na wengine wanaweza kumpigia kura kwa kumuhurumia tu hata kama hana uwezo wa kuongoza kwa nafasi anayogombea.

Kura za huruma hujilinda zenyewe hata kama ni chache.

Nimeisoma mahali fulani.

Maendeleo hayana vyama!
Hahahahaha Yohana Mbatizaji umeshaguswa na upako wa Mungu aliouweka kwa Lissu!!!

Safi sanaaa!!! Taratibu tutaelewana tu!!

Nilishawai sema mahali magufuli amemtengeneza Lissu mwenyewe na sasa hana jinsi, Lissu anaenda kumuangusha Kweli!!

Kikwete alijua umahiri wa Lissu na kamwe hakuruhusu afunguliwe makesi ya kupambikiwa wala hakujaribu kumuua!!

Lissu sio wa kudeal nae kwa hasira au kumkomoa maana siku ya mwisho atakushinda tu!!

Risasi mumpige nyie, matibabu mumnyime nyie, ubunge mumvue nyie, alafu siku ya mwisho mumshinde kwenye sanduku la kura???? Thubutu yenu!!!!
 
Kinachoendelea kwa sasa kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu ni huruma ya wananchi kwa vile alifutwa kazi ya ubunge akiwa kwenye matibabu.

Ni vema hili likaeleweka huruma ikizidi inamfanya anayehurumiwa aonekane ni mtu maarufu hata kama hana umaarufu.
Na wengine wanaweza kumpigia kura kwa kumuhurumia tu hata kama hana uwezo wa kuongoza kwa nafasi anayogombea.

Kura za huruma hujilinda zenyewe hata kama ni chache.

Nimeisoma mahali fulani.

Maendeleo hayana vyama!
Labda wewe kaka...Ila kwa jinsi JIWE alivyowakifu wananchi hata kama upinzani wangemueka MREMA au LIPUMBA angeshinda tu. We acha kabisa. Lissu ana added advantages nyingi mno zitakazo mpa ushindi wa kishindo...
 
Akili za kushikiwa hizi. Lissu anapendwa na Watanzania walio wengi hadi kumtia kiwewe huyo KICHAA si kwa sababu tunamuonea huruma alipigwa risasi, akanyimwa pesa zake za matibabu na kisha kuporwa Ubunge wake la hasha.

Lissu anapendwa kwa sababu anazungumzia yale ambayo Watanzania tunayataka na tunayathamini sana. UHURU NA HAKI wa Watanzania kuchagua Viongozi, Wabunge na Madiwani. Kuwepo kwa Katiba mpya na Tume huru ili kuhakikisha uhalali wa chaguzi zetu. Uhuru wa kujadili mustakabali wa Nchi yetu na kuikosoa Serikali bila woga wala aibu.

Uhuru wa vyombo vya habari bila kuingiliwa kwa namna yoyote ile na yeyote yule.Kuwa na Bunge huru linaloweza kuiwajibisha Serikali bila woga si hili Bunge UCHWARA.

Uwepo wa mahakama inayotenda haki bila ya kupewa maagizo ya kidhalimu ili kuwanyima watuhumiwa dhamana au kuwafunga kwa makosa FAKE ya kubambikiwa. Polisi pia inayotenda haki kwa Watanzania.

Kuwatendea haki wafanyakazi, wafanyabiashara na wakulima kwa dhuluma zote walizozipata tangu 2015 ikiwemo wafanyakazi kutoongezewa mishahara.

Ni ZWAZWA tu ndiye anayeweza kuyakataa haya yaliyomo kwenye Sera za Lissu na Chadema.

Kinachoendelea kwa sasa kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu ni huruma ya wananchi kwa vile alifutwa kazi ya ubunge akiwa kwenye matibabu.

Ni vema hili likaeleweka huruma ikizidi inamfanya anayehurumiwa aonekane ni mtu maarufu hata kama hana umaarufu.
Na wengine wanaweza kumpigia kura kwa kumuhurumia tu hata kama hana uwezo wa kuongoza kwa nafasi anayogombea.

Kura za huruma hujilinda zenyewe hata kama ni chache.

Nimeisoma mahali fulani.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kauli za baba mwenye nyumba zitamgharimu kwa wabunge na madiwani ...msema ukwelii mpenzi wa mungu ila itakula kwake damage done tunduma huko...
 
Akili za kushikiwa hizi. Lissu anapendwa na Watanzania walio wengi hadi kumtia kiwewe huyo KICHAA si kwa sababu tunamuonea huruma alipigwa risasi, akanyimwa pesa zake za matibabu na kisha kuporwa Ubunge wake la hasha.

Lissu anapendwa kwa sababu anazungumzia yale ambayo Watanzania tunayataka na tunayathamini sana. UHURU NA HAKI wa Watanzania kuchagua Viongozi, Wabunge na Madiwani. Kuwepo kwa Katiba mpya na Tume huru ili kuhakikisha uhalali wa chaguzi zetu. Uhuru wa kujadili mustakabali wa Nchi yetu na kuikosoa Serikali bila woga wala aibu.

Uhuru wa vyombo vya habari bila kuingiliwa kwa namna yoyote ile na yeyote yule.Kuwa na Bunge huru linaloweza kuiwajibisha Serikali bila woga si hili Bunge UCHWARA.

Uwepo wa mahakama inayotenda haki bila ya kupewa maagizo ya kidhalimu ili kuwanyima watuhumiwa dhamana au kuwafunga kwa makosa FAKE ya kubambikiwa. Polisi pia inayotenda haki kwa Watanzania.

Kuwatendea haki wafanyakazi, wafanyabiashara na wakulima kwa dhuluma zote walizozipata tangu 2015 ikiwemo wafanyakazi kutoongezewa mishahara.

Ni ZWAZWA tu ndiye anayeweza kuyakataa haya yaliyomo kwenye Sera za Lissu na Chadema
Hata Chadema walimteua kwa sababu ya huruma!
 
Kinachoendelea kwa sasa kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu ni huruma ya wananchi kwa vile alifutwa kazi ya ubunge akiwa kwenye matibabu.

Ni vema hili likaeleweka huruma ikizidi inamfanya anayehurumiwa aonekane ni mtu maarufu hata kama hana umaarufu.
Na wengine wanaweza kumpigia kura kwa kumuhurumia tu hata kama hana uwezo wa kuongoza kwa nafasi anayogombea.

Kura za huruma hujilinda zenyewe hata kama ni chache.

Nimeisoma mahali fulani.

Maendeleo hayana vyama!
Let us assume that: Magufuli alifanya ukatili wa kumpiga risasi 38 Lisu, katika hizo 16 zilimpata. Wewe huoni kuwa kumpa kura mtu katili kama huyu ni dhambi?

ok kajenga madaraja, sijui ndege etc etc je huoni hayo madaraja na hizo ndege ni kama bloody infrastructure ?

hata kama tunataka maendeleo yaje ethically, we need sustainable peace
 
Back
Top Bottom