Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Hahahahaha Yohana Mbatizaji umeshaguswa na upako wa Mungu aliouweka kwa Lissu!!!Kinachoendelea kwa sasa kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu ni huruma ya wananchi kwa vile alifutwa kazi ya ubunge akiwa kwenye matibabu.
Ni vema hili likaeleweka huruma ikizidi inamfanya anayehurumiwa aonekane ni mtu maarufu hata kama hana umaarufu.
Na wengine wanaweza kumpigia kura kwa kumuhurumia tu hata kama hana uwezo wa kuongoza kwa nafasi anayogombea.
Kura za huruma hujilinda zenyewe hata kama ni chache.
Nimeisoma mahali fulani.
Maendeleo hayana vyama!
Safi sanaaa!!! Taratibu tutaelewana tu!!
Nilishawai sema mahali magufuli amemtengeneza Lissu mwenyewe na sasa hana jinsi, Lissu anaenda kumuangusha Kweli!!
Kikwete alijua umahiri wa Lissu na kamwe hakuruhusu afunguliwe makesi ya kupambikiwa wala hakujaribu kumuua!!
Lissu sio wa kudeal nae kwa hasira au kumkomoa maana siku ya mwisho atakushinda tu!!
Risasi mumpige nyie, matibabu mumnyime nyie, ubunge mumvue nyie, alafu siku ya mwisho mumshinde kwenye sanduku la kura???? Thubutu yenu!!!!