Watu wanaoishi Dar hawana raha ni stress tupu..

Nikienda nje Jiji la Dar naona mwili wote mwepesi....lakini nikikaribia jiji la Dar nahisi kichwa kinanigonga sana....

Kwa Kweli hapa Dar watu tunakaa tu basi lakini Hakuna maana ya maisha...it's just surviving
Aiseeee
 
Dar hovyo sana, foleni ndio kero namba moja. Mtu anatumia muda mwingi kwenda kazini na kurudi nyumbani... Utaacha kuwa na stress.
 
Watu wa vijijini bwana! Wivu wa kimaendeleo tu na Watu wa Dar ndio unaowasumbua
 
Usijali mkuu. Ipo siku utakuja kuishi dar na ndoto zako zitatimia
 
Bila shaka hunijui sasa wivu wa maendeleo gani hasa? stress au joto
Sasa kwa akili yako na upeo wako iv watu wa Dar na mikoani kwa kuangalia hata kimuonekano utagundua wakina nan wanastress na maisha magum
 
Nimetembea mikoa mingi asilimia kubwa ni mapori tu na ukibahatika kukuta mji basi ni kama mtaa wa agrey k/koo pale basi, kidogo naona afadhari Arusha/ Mwanza , acha Dar iitwe Dar Shubhamiiiit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…