Ndio maana yakeVyumba viwili kwa mwezi 250000!!? Au mimi naishi uswazi sana?
Huko mkoani kwako vijiji vipo hewani?Write your reply...wakazi wa dar wanamaisha duni sana yani hadi noma bia jiji la Dar kuna watu masikini wengi wanaisha kwenye mabanda unplanned settlement pia Dar ni jiji lenye vijiji ndani yake
Dar hovyo sana, foleni ndio kero namba moja. Mtu anatumia muda mwingi kwenda kazini na kurudi nyumbani... Utaacha kuwa na stress.
Ukikaa kwenye foleni umetaka.Foleni ni kero kubwa mno dar
basi sawa.Ndio maana yake
Mie Arusha naona Pagumu Sana labda kutokana na mishe za pori nazofanya,Dar nimekaa miaka ya early 2000's mishe zilikuwa zinaenda poa.arusha ndio home mkuu... huko murua kabisa
Utoke kazini jioni ile umechoka hasa ushuke kwenye daladala utembee?Ukikaa kwenye foleni umetaka.
Shuka tembea.
Shuka kodi boda boda.
Na kujiongeza pia kazi?
Hiyo avatar yako inastahili kuwa jukwaa la wakubwa tu[emoji16]Dar hakuna maisha ni kubangaiza tu.....struggle for survival
Simple logic.Utoke kazini jioni ile umechoka hasa ushuke kwenye daladala utembee?
Kukodi bodaboda si hadi uwe na hela, unadhani watu wanakomaa na daladala ilhali bodaboda wanaziona wanapenda?
Inategemea na route =unatoka wapi kuelekea wapi na muda gani
.................Simple logic.
Umetoka kazini umechoka hautaki foleni, kodi boda boda.
Umetoka kazini umechoka hautaki foleni na hauna hela, shuka tembea.
Umetoka kazini umechoka, hela hauna na huwezi kuapply options za juu hapo tulia ndani ya basi.
Inasikitisha kwa kweli, ila kwetu BunjuB viwanja vya mradi hatuna hayo, tatizo la kupenda kukaa karibu na mji, eti Sinza, Mwananyamala, Manzese, Magomeni, Kinondoni, Keko, Kurasini, Makumbusho n.k. n.k.wakuu!
nimekuwa kwa muda fulani nikitembelea mikoa lakini watu
dar wanastress sana kuanzia kutafuta mpaka kula...kila kitu ni shida na wanalazimisha furaha...
leo niongelee makazi
unakuta mtu ana watoto watatu pamoja na house girl lakini amepanga vyumba viwili(watu karibu 6 wanalala vyumba viwili kodi kwa mwezi 250,000) watu wanashinda nje wakiongea muda ufike akalale! usafiri tabu tupu... mikoani unakuta mtu anamaisha ya kwaida lakini ana nyumba kama hekalu kila mtoto ana chumba chake!
Siyapendi kabisa maisha ya dar...
wanangania hapo mjini tuInasikitisha kwa kweli, ila kwetu BunjuB viwanja vya mradi hatuna hayo, tatizo la kupenda kukaa karibu na mji, eti Sinza, Mwananyamala, Manzese, Magomeni, Kinondoni, Keko, Kurasini, Makumbusho n.k. n.k.
Waje nje ya miji, kuna viwanja bwelele, waweka boma, utafuga, waweza kuwa na mlinzi wa uhakika (mbwa), bustani, miti ya vivuli n.k. burudani kabisa..