Watu wanaoishi Dar hawana raha ni stress tupu..

Miaka ya nyuma nilipofika Dar na siku moja kuhudhuria ibada kanisani niliwashangaa sana waumini wenyeji wa Dar maana nyuso zao zilionyesha misongo na kutokuwa na furaha.

Niseme tu kuwa ukiwa na karama ya utambuzi ndipo utajua kuna ukweli wa jambo hili.
 
Rudi kwenu, bahari si ushaiona?
 
Baba Mbwa tuseme siku hizi utaratibu umebadilika yaani wewe Baba Mbwa Mama Mbwa na Mbwa hamlali tena kwenye vibanda na minyororo shingoni mnalala kwenye mahekalu

kweli mikoani watu wana hela kama tu mbwa wanalala kwenye maheka
 
Baba Mbwa tuseme siku hizi utaratibu umebadilika yaani wewe Baba Mbwa Mama Mbwa na Mbwa hamlali tena kwenye vibanda na minyororo shingoni mnalala kwenye mahekaru

kweli mikoani watu wana hela kama tu mbwa wanalala kwenye mahekaru
ni mahekalu sio mahekaru

hayo mengine sifahamu!
 
Ndio maana mtoa mada anaona huruma kuhusu foleni!
 
Naona Dar bado inawasumbua wasela mavi wa Arusha. Hata mfanyeje mji wenu hautakuja kuifikia Dar. Jipeni moyo tu. Kwa kifupi sijaona mji uliokosa ustaarabu kama Arusha.
 
Mkuu sitaki kuamini baada ya kuumiza kichwa kweli kweli hatimaye ukaja na comment hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nao hawa kenge. Sijui Dar wanayoizungumzia ni Dar ipi. Sehemu ninayoishi kuna maji ya uhakika toka mwaka 1998. Hata yakikatika ni siku moja au mbili. Hilo joto tunalisikiaga tu.
 
Dar ni machimboni yaani sehemu ya kutafutia mkwanja tu,then tunasepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…