Watu wanaokunywa Pombe wanaonekana wanafurahia maisha kuliko wasiokunywa

Kama unahisi pombe ni starehe,jaribu kunywa uone..

Tunapokunywa tunaona starehe,ila kesho yake ndo utaelewa...
Ukinywa kwa kiasi inakuwa ni starehe, ukinywa kwa pupa inakuwa sio starehe sasa ni karaha

Formula ya pombe idhibiti, isikudhibiti, kwa maana "ukiingia kwenye mfumo" wake umeishaa [emoji3][emoji2][emoji1]
 
Nimeipenda hii post Nilionyesha post hii kwa familia yangu na wao pia wamependa post hii. tumenunua projekta na tukaonyesha post hii kwa mtaa mzima na pia wameipenda post hii. Maisha yetu yamebadilika kwa sababu ya post hii. Tunashukuru kwa post hii,asante sana kwa post hili..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee
 
Mafanikio gani?

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Umeshalewa tayari.
 
Wengi wanajuta sana wakiwq sober na hata wakilewa na wengi wao ni waoga na wanaogopa kuuface uhalisia wa maisha wakiwa sober
 
Umeshalewa tayari.
Mapema sana nimetoka kazin sio muda nimepitia kwa manka hapa napata hard liquid na kitimoto pemben nikifika hom nikalale No shobo na Mtu yaan no kweree bablaii tunaish maisha yetu yan yentee yentee
 
Tunaokunywa kamnyweso tuna furaha... Kuna vibe fulani hivi linakujaga automatically from no where, unajikuta unasahau shida unafurahia

Ni nadra sana kumkuta mtu anakunywa pombe analia au anasikitika
Na zile chenchi za buku buku hua zinawekwa kwny mfuko wa kushoto, maumivu Ni asubuhi yake Sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…