nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Hawa wanafiki kama Malisa ni hatari sana kwa jamii yetu...Malisa ndio mwanzilishi wa mama anaupiga mwingi.
Tunafutwa machozi
😂 😂 😂
Wapelelezi mpk kusuka wanaruhusiwaAskari wanaruhusiwa kuwa na Rasta? Au ni kikosi maalum?
Huyu alikuwa zaidi ya shetaniMkuu Chiembe sidhani kama wewe una kibri zaidi ya Kheri James wa Enzi zile.
Lakini yaliisha akajifunza sasa hivi anachapa kazi. Ameachana na mambo hayo.
Mungu akusaidie sana.
Wahenga walisema "Heri kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi ukiwa umepiga magotiMzee mmoja alipata kuniambia mambo matatu ya kuchunga maishani kuepuka matatizo yanayo epukika
1. Tii mamlaka (serikali)
2.Ishi VIZURI na watu/ jamii inayo kuzunguka ishi nao vyema.
3.Heshimu/ wapende wazazi,familia,ukoo na nduguzo
Maza ni mtu wa hovyo snHakuna kitu kibaya kama kuwa na utapia mlo wa akili!
Unajua walichokirimiwa 'watu' hadi wakakubali kufukuza Wamasai ktk ardhi yao na kuwapa waarabu?
Kwani wapelelezi siyo askari?Wapelelezi mpk kusuka wanaruhusiwa
Ok, Undercover.SIkilizia Story ya Power Mangwana(Jambazi Sugu) alivyoingizwa Msambweni(Kwenye 18 akakamatwa) ,Mvuta Bangi(Kumbe ni Njagu - alikuwa anashinda nao anablezi) ndiyo aliyefanikisha kuwawakamata.
SIjui kama umeelewa au umelewaKwani wapelelezi siyo askari?
Labda unazungumzia “undercover”?
Bush Dokta njoo usome ninachomaanisha. Hiki hapa kwa King Kong IIIUkiwa kwenye siasa haitakiwi uamini mtu yeyote.....Mimi hata mtu nayemjua anipigie njoo na bla bla kibao siendi mpaka anieambie motive behind otherwise namwambia aongee tumalizane kwenye simu.
Mwamba alikuwa Zakaria alivyotaka kuwamwaga Ubongo wasiojulikana , watu wakija kukuchukua hakikisha hautoki kizembe othewise piga nduru umevamiwa na wezi(Unapiga yowe tu weziiii ,majirani weziiiiiii) raia watoke ,raia wakishajaa hata wakiwa na mitutu watasalenda.
Ukipigiwa simu na mtu akianza kukuuliza sijui upo wapi mara kuna issue inabidi tuongee tuiweke sawa mwambie direct aongee kwenye simu ukiona anang'ang'ania uko wapi mara tukutane jua hapo jamaa anapewa malekezo na manjagu stuka ,yeyusha tu kwamba upo bukoba kikazi na hauwezi kukutana nao kwa leo mpaka muda mwingine kama urgent waongee kwenye simuj.
Mimi sijajua kosa lake kwa sasa, lakini ukifungua ukurasa wake wa X zamani Twitter utaziona harakati zake.Okay kumbe unamjua? Tuache huyo mwanaharakati na hao wengine vipi?
Na je huyo mwanaharakati yeye amevunja sheria gani?
CCM ina miaka 63 inatutawalaHuwezi kuzuia 'mfumo asili' (nature) kwa mtutu wa bunduki.
Kama aina ya uongozi wa ccm haukubaliki tena na jamii hata watumie maguvu ya kila aina, lakini wataanguka tu...ni suala la muda.
Wakati wako utafika pia. Wakati wa Mungu.Labda walikuwa wanatembea na wake za watu, jamaa wameamua kulipiza. Vijana wanapenda sana mashangazi
Sasa kama walitekwa, hii story umesimuliwa na nani? Maana walio experience hili jambo hawapo.
Halafu suala la ajenda za nchi, usijiweke mbele, subiri mifumo yenyewe iji-set. Jamii yenyewe huwa inajiivisha, na inakuwa tayari kwa mabadiliko. Ndio maana kwa Tanzania, mnataka watu waandamane, kwanza watu wenyewe wanawashangaa. Mnasema sijui katiba mpya, jamii kwa ujumla haijafikia hatua ya kuihitaji as long as serikali haiiwekei makucha jamii hiyo kwa ujumla wake, ukiacha wake wenye akili zilizopiga shoti kama Mdude Nyagali. Hawa lazima wapate mikwaruzo, kwa kuwa wanatembea kwenye eneo lenye umeme mkubwa.
Sawa. Nimekuelewa kuwa ni “kikosi maalum cha upelelezi”Ndio.
Kuna kitengo hasa cha upelelezi na ukamataji.
Hii habari haileweki pikipiki. meibiwa halafu mtu aliyeibiwa anampa taarifa kiongozi wa Chadema eti waongozane na kiongozi wa Chadema polisiMajambazi katika uniform za jeshi la polisi
Hii mbinu yako itafanya kazi kama kweli ni vibaka wanaotaka kukuibia lakini sio Watekaji ambao wanakuja na Baraka zote kutoka juu.
Sudani ya KUSINI?!Mzee wa nchi gani?