nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Hawa wanafiki kama Malisa ni hatari sana kwa jamii yetu...Malisa ndio mwanzilishi wa mama anaupiga mwingi.
Tunafutwa machozi
😂 😂 😂
Kabla hawajafikiwa waliwaita wenzao sukuma gang na bla bla zingine...
Sasa wamefikiwa wanapiga mayowe...
Watanzania tujifunze kuchunguza akili za viongozi na kuwapinga hata kama kwa mda huo wako upande wetu...
Kuna watanzania wenzetu waliona mapema kwamba mama hawezi kua kiongozi mzuri...
Sasa tutulie.