Pre GE2025 Watu Wasiojulikana: Malisa aelezea tukio la kutekwa kwa Deus Soka na vijana wengine wawili wa CHADEMA

Pre GE2025 Watu Wasiojulikana: Malisa aelezea tukio la kutekwa kwa Deus Soka na vijana wengine wawili wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Malisa ndio mwanzilishi wa mama anaupiga mwingi.
Tunafutwa machozi
😂 😂 😂
Hawa wanafiki kama Malisa ni hatari sana kwa jamii yetu...

Kabla hawajafikiwa waliwaita wenzao sukuma gang na bla bla zingine...

Sasa wamefikiwa wanapiga mayowe...

Watanzania tujifunze kuchunguza akili za viongozi na kuwapinga hata kama kwa mda huo wako upande wetu...

Kuna watanzania wenzetu waliona mapema kwamba mama hawezi kua kiongozi mzuri...

Sasa tutulie.
 
Mzee mmoja alipata kuniambia mambo matatu ya kuchunga maishani kuepuka matatizo yanayo epukika
1. Tii mamlaka (serikali)
2.Ishi VIZURI na watu/ jamii inayo kuzunguka ishi nao vyema.
3.Heshimu/ wapende wazazi,familia,ukoo na nduguzo
Wahenga walisema "Heri kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi ukiwa umepiga magoti
 
Sijaelewa umesema wametekwa na watu wasiojulikana alafu unasema wapi kituo Cha polisi kilwa road na pia wamepelekwa polisi changombe
 
Ukiwa kwenye siasa haitakiwi uamini mtu yeyote.....Mimi hata mtu nayemjua anipigie njoo na bla bla kibao siendi mpaka anieambie motive behind otherwise namwambia aongee tumalizane kwenye simu.

Mwamba alikuwa Zakaria alivyotaka kuwamwaga Ubongo wasiojulikana , watu wakija kukuchukua hakikisha hautoki kizembe othewise piga nduru umevamiwa na wezi(Unapiga yowe tu weziiii ,majirani weziiiiiii) raia watoke ,raia wakishajaa hata wakiwa na mitutu watasalenda.

Ukipigiwa simu na mtu akianza kukuuliza sijui upo wapi mara kuna issue inabidi tuongee tuiweke sawa mwambie direct aongee kwenye simu ukiona anang'ang'ania uko wapi mara tukutane jua hapo jamaa anapewa malekezo na manjagu stuka ,yeyusha tu kwamba upo bukoba kikazi na hauwezi kukutana nao kwa leo mpaka muda mwingine kama urgent waongee kwenye simuj.
Bush Dokta njoo usome ninachomaanisha. Hiki hapa kwa King Kong III
 
Okay kumbe unamjua? Tuache huyo mwanaharakati na hao wengine vipi?

Na je huyo mwanaharakati yeye amevunja sheria gani?
Mimi sijajua kosa lake kwa sasa, lakini ukifungua ukurasa wake wa X zamani Twitter utaziona harakati zake.
 
Huwezi kuzuia 'mfumo asili' (nature) kwa mtutu wa bunduki.

Kama aina ya uongozi wa ccm haukubaliki tena na jamii hata watumie maguvu ya kila aina, lakini wataanguka tu...ni suala la muda.
CCM ina miaka 63 inatutawala
 
Labda walikuwa wanatembea na wake za watu, jamaa wameamua kulipiza. Vijana wanapenda sana mashangazi

Sasa kama walitekwa, hii story umesimuliwa na nani? Maana walio experience hili jambo hawapo.

Halafu suala la ajenda za nchi, usijiweke mbele, subiri mifumo yenyewe iji-set. Jamii yenyewe huwa inajiivisha, na inakuwa tayari kwa mabadiliko. Ndio maana kwa Tanzania, mnataka watu waandamane, kwanza watu wenyewe wanawashangaa. Mnasema sijui katiba mpya, jamii kwa ujumla haijafikia hatua ya kuihitaji as long as serikali haiiwekei makucha jamii hiyo kwa ujumla wake, ukiacha wake wenye akili zilizopiga shoti kama Mdude Nyagali. Hawa lazima wapate mikwaruzo, kwa kuwa wanatembea kwenye eneo lenye umeme mkubwa.
Wakati wako utafika pia. Wakati wa Mungu.
 
Mwenye marasta
Swali kwamba kwann hawakusema mapema na sahizi wanaitwa kibwege nawao wanaitikia
 
Majambazi katika uniform za jeshi la polisi
Hii habari haileweki pikipiki. meibiwa halafu mtu aliyeibiwa anampa taarifa kiongozi wa Chadema eti waongozane na kiongozi wa Chadema polisi

Pana ukakasi fulani kwenye taarifa ya mleta mada
 
Hii mbinu yako itafanya kazi kama kweli ni vibaka wanaotaka kukuibia lakini sio Watekaji ambao wanakuja na Baraka zote kutoka juu.

Inafanya kazi mkuu ,kuna maeneo watu wamepinda ,hawajali hata kama una mashine au umesahau yule jamaa wa ccm aliyeuawa mwanza huku akiwa na mashine mkononi?
 
Back
Top Bottom