Bado kuna "viboko" wengi wasakwe popote walipo. Tunachotaka sisi wananchi ni kukomesha kabisa hii biashara haramu na mbaya kwa vizazi wa taifa hili, tunataka madawa ya kulevya yawe historia kwa Tanzania.Wamekamatwa wengi hapa juzi kati....unamfahamu Kiboko yule wa Tegeta...manyumba na hotel zake yamebaki magofu tu...kuna wale waliokamatiwa mtwara...yule mwingine wa Tanga...wote hao ni heavyweights sio kama hawa madogo
50 na jela atoka kama bibi, hivi hiyo miaka yote si anatoka bikra, maana kule hawapelekewi moto kabisa.Duh mkuu ya Mungu mengi sijuwi kama nitakuwepo 50/50%
Hahaha ngoja tuwaulize wajuzi mkuu!50 na jela atoka kama bibi, hivi hiyo miaka yote si anatoka bikra, maana kule hawapelekewi moto kabisa
Haya endelea kutaka hivyo hivyo.hamna cha kimya kimya,
tunataka kuona wauza madawa ya kulevya wote ktk mkoa wa DSM wanafikishwa mahakamani, tunataka kuona mitandao kuanzia wakubwa wao mpaka watumiaji wote wanakamatwa.
kwakweli hivi sasa wauzaji na watumiaji wameanza kuibuka tena.
Mkuu acha hizo mambo. Mangwea aliomba dili kama wewe lakini kilichomtokea ni kufa na kupasuliwa utumbo kabla ajazikwa ili watu watoe mali yao kwanza.Nipeni dili wakuu. Please.
Maana miaka 26 bila kupelekewa moto kwanza atakuwa na ugwadu wa hatari, kama ma afisa hawawasaidiii itakuwa wanapata sana taaabu au wanakunana wenyeweHahaha ngoja tuwaulize wajuzi mkuu!
Askari magereza unawajua mkuu
Nadhani anaweza pangiwa kufanya usafi kwa afisa 😂
Nikupe namba zake 😀😀instagram acc ya ALLU tafadhali
Lete jina la acc acha janjajanja jombaaNikupe namba zake 😀😀
Mzigo ukishaenda kwa mkemia unaubadilishaje mzee baba!?Hii kesi kuimaliza rahisi sana,hapo unayajenga na mpelelezi,uchunguzi uendelee hata miezi sita,badala ya kilo 30,unapoteza zote unaacha nusu kilo,unachanganya na ngano,Kwanza ni kosa lao kwanza,hapo Hakimu anapunguza miaka mnapigwa,miaka 15!ila kifungo Cha nje,
Ile sheria naona watu waipaganie, ya watu waliopo kule wawe wanakutana na wenza wao hata mala moja kwa miezi. Ni sehemu ya kipato kama serikali itabuni, kuna kuwa na vi lodge kule kama una manzi yako unalipia hata50,000 ili kukwichi kwicho nae.. ila ni lodge zinakuwa ndani ya ngome humo humoHahaha ngoja tuwaulize wajuzi mkuu!
Askari magereza unawajua mkuu
Nadhani anaweza pangiwa kufanya usafi kwa afisa 😂
Mkuu hapa hatuzungumzii thamani ya alichonacho.Vunja labda kajisogeza kwa babu..ila maduka anayomilk bado ni kawaida sana.
M10 tu kwa biashara ya china ndan ya 2 ys una maduka 6
Mmh hayo mambo sitaki kuyasikia mkuuNipeni dili wakuu. Please.
Wauza unga ni watu wa matumiziSio bongo muvi tu hata hollywood...biashara ya unga na entertainment industry ni kama pete na kidole
Mkuu,,usibishe kitu,,wacha kumchukulia dhamana mtu usiyekuwa nae 100% muda wote..SIO LAZIMA
Jamani kama ushawah fanya biashara china au unafanya .
..ukipata mtaji mzuri na ukiwa na displn ya pesa viduka vya nguo utamiliki tu
Hivi kwanin mnapenda umaskin kias kwamba kila anaetajirika mnamuona ana walakini?
Ngumu kuisha mzee maana kila siku wanaibuka wapyahamna cha kimya kimya,
tunataka kuona wauza madawa ya kulevya wote ktk mkoa wa DSM wanafikishwa mahakamani, tunataka kuona mitandao kuanzia wakubwa wao mpaka watumiaji wote wanakamatwa.
kwakweli hivi sasa wauzaji na watumiaji wameanza kuibuka tena.
Mkuu, usibishe kitu, wacha kumchukulia dhamana mtu usiyekuwa nae 100% muda wote.SIO LAZIMA
Jamani kama ushawah fanya biashara china au unafanya .
..ukipata mtaji mzuri na ukiwa na displn ya pesa viduka vya nguo utamiliki tu
Hivi kwanin mnapenda umaskin kias kwamba kila anaetajirika mnamuona ana walakini?
Hehehe hawajui hawaMkuu,,usibishe kitu,,wacha kumchukulia dhamana mtu usiyekuwa nae 100% muda wote..
Unajuwa kama kuna network ya madawa hong kong to China?
Wako watu ukiwakagua Tanzania hapa ni wasafi.
Hana doa lolote.
Lakini hong Kong -- China majina yao makubwa kwenye mambo hayo.
Usimdhamini muuuza kahawa atakuachia birika na sahani ya kashata uje ufungwe.
serikali ikidhamiria kama ilivyo sasa ila wakiongeza mbinu naamini wafanya biashara wa dawa za kulevya wataisha.Ngumu kuisha mzee maana kila siku wanaibuka wapya
Ova
Nlikutana siku moja na mtoto wa lyumba yuleHahaha ngoja tuwaulize wajuzi mkuu!
Askari magereza unawajua mkuu
Nadhani anaweza pangiwa kufanya usafi kwa afisa [emoji23]