Watu watatu wafikishwa kortini wakikabiliwa na shitaka la kusafirisha Dawa Za Kulevya aina ya Heroine Kg 30

Watu watatu wafikishwa kortini wakikabiliwa na shitaka la kusafirisha Dawa Za Kulevya aina ya Heroine Kg 30

KILOGRAM THERATHINI?

30 KG?

Watoto wadogo wanaendesha Range Rover si tunapambana miaka nenda rudi ndio tunapata Passo used 4th end baada ya kuchukua mkopo NMB. Dah.
Siku unapokutana na hao waliokukamata Unajua hujui.
Hawa wote warembo tu wakifika huko Segerea ama Keko huruma yetu matarumbeta tu, naleta barakoa mchango wangu
 
Ndogo sana MKUU,
kuna mdau kasema street value ya kilo moja ya cocaine bongo ni usd 8500 sasa ukipiga mara 30 ni usd 255,000 ambayo ni milioni 591..siyo hela nyingi kwa wauza unga ma don so it is possible kuwa na mzigo huo ndani.kumbuka walikamatwa na kama usd 12,000 cash na millions kadhaa za kibongo hizo walikuwa wamepokea hela za mauzo ya rejareja mtaani
 
Aisee bora nikeshe baharini nikitafuta samaki au nifanye kazi yoyote ngumu kuliko poda ina kupoteza kabisa mtu akikutoa uraiani miaka 20 huwezi simama tena mkuu
Kabisa mvua miaka 20 ukitoka hata miaka 5 ramani ishapotea, network zimekata, huna namna!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Hawa walikuwa wanatumika kama chimbo&supply ni wageni wa kazi hiyoo
Wangejua sahv unga kuushika kukaa nao ni soo
Majigambo pia yamewaponza ndomna kesi yao mahakamani mpka bongomovie wasanii walienda kusikiliza mpk wengne wakaawa wanalia
Maana kutoka hawa ni mtihani

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
mrangi hao wajomba watatoka na hutaamini, ni watoto wa mtu hapa town sio rahisi kuwafunga ila jamaa anafanya biz kisenge sana. Keshawaharibia madogo ila enewei mfanyabiashara kapata hasara tu hapo
 
KILOGRAM THERATHINI?

30 KG?

Watoto wadogo wanaendesha Range Rover si tunapambana miaka nenda rudi ndio tunapata Passo used 4th end baada ya kuchukua mkopo NMB. Dah.
Khatari sana mkuu, yaani huo mzigo value yake kama wasingekamatwa, si masikhara, ndio maana hiyo biashara haiwezi kuisha pamoja na adhabu kali sana kwa wanaokutwa na mizigo hiyo
 
Back
Top Bottom