binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Unaota au?Hii kesi kuimaliza rahisi sana,hapo unayajenga na mpelelezi,uchunguzi uendelee hata miezi sita,badala ya kilo 30,unapoteza zote unaacha nusu kilo,unachanganya na ngano,Kwanza ni kosa lao kwanza,hapo Hakimu anapunguza miaka mnapigwa,miaka 15!ila kifungo Cha nje,
Vunja bei ndio wale wale tu wauza ngada.mzigo wao(wa nguo) hawachukui kwa vunjabei kweli.....Mark this tweet
Wangekua na nia na huyo Don wangeshamkamata wanamjua na hata madogo hawajakamatwa bahati mbaya...achana na movie za bongo hizi nenda netflix kule kuna series kali kuliko hizi.Nani yupo nyuma ya huo mzigo? Maana hao machalii lazima Kuna connect ambaye Ni Papa mkuu. Wamtaje. Wamezipataje kilo zote hizo? Kuna mtu hapo mwenye jina lake na pesa zake akamatwe Kama kweli Wana Nia ya kumaliza hilo suala.
Asijaribu, atachezea kipigo cha mbwa koko, na kufa hafi na kilema atabaki kacho.. awe mpole tuHaitakiwi upagawe saaana nimambo ya kawida hpo inatakiwa uwe mpole usubil hukum kama hukum ni maisha.aise fanya juhudi ufe hataa na afande mmoja kwa kumpora bunduki
Bila kapicha unakuwa hujatenda hakiNa huyo allu ni pisi kali kishenzi, ukimuona kama wakutoka nje vile.
wamekula unga ndio maana wamenenepeana ivyo kama nguruweHuyo mwenye pajama ya blue mbona mofoloji yake inatia shaka? Ni mwanamme kweli? Halafu 24 mbona wana miili mikubwa sana?
Huyu kama kweli anafanya hyo biashara hana muda mrefu watamdaka.Vunja bei ndio wale wale tu wauza ngada.
Najitolea kuwao hao wanawake wawili, hao wanaume wakapambane na hali zaoKabisa mvua miaka 20 ukitoka hata miaka 5 ramani ishapotea, network zimekata, huna namna!
Everyday is Saturday............................... 😎
Naomba Magufuli asome hii comment, ili ndio mjue jamaa wao hajui..mrangi hao wajomba watatoka na hutaamini, ni watoto wa mtu hapa town sio rahisi kuwafunga ila jamaa anafanya biz kisenge sana. Keshawaharibia madogo ila enewei mfanyabiashara kapata hasara tu hapo
yaani hao japo wamejifunika ila wanaonekana ni pisi kali balaa, em tupia picha ya Allu au ya Fatima au zote mbiliNa huyo allu ni pisi kali kishenzi, ukimuona kama wakutoka nje vile.
Bora kuwa mwanasiasaDah bora kujinyonga kuliko kufanya hii biashara!
Haram Haram kweli miaka 15 sibora ufe tu kuliko kucheza na maisha au kuuza ata genge la mboga mboga!
Hivi ni cocaine au ni heroin? I thought wamekutwa na heroinSisi sio producers wa hayo mambo hivyo haiwezi kuwa na bei ndogo kiasi hicho kuliko USA ambapo ni pua na mdomo.
Pia Tz hakunaga cocaine mzigo mkubwa hivyo maana watumiaji wa cocaine hawapo
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Kinachofanya bei kubwa na ndogo, ni ulinzi wa kuingiza mzigo eneo husikaSisi sio producers wa hayo mambo hivyo haiwezi kuwa na bei ndogo kiasi hicho kuliko USA ambapo ni pua na mdomo.
Pia Tz hakunaga cocaine mzigo mkubwa hivyo maana watumiaji wa cocaine hawapo
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Sio kwa utawala huu mkuu..mrangi hao wajomba watatoka na hutaamini, ni watoto wa mtu hapa town sio rahisi kuwafunga ila jamaa anafanya biz kisenge sana. Keshawaharibia madogo ila enewei mfanyabiashara kapata hasara tu hapo
Ila hawa watoto majasiri aisee miaka 24? Halafu napendekeza dera liwe vazi maalum la mahakamani kwa wanawake, wamejificha vizuri sanaKILOGRAM THELATHINI?
30 KG?
Watoto wadogo wanaendesha Range Rover si tunapambana miaka nenda rudi ndio tunapata Passo used 4th end baada ya kuchukua mkopo NMB. Dah.
Mambo ya viwanda yanaumiza kichwa na wao wanapenda vitu rahisi yaani unanunua unauza imeisha kama mmachinga vile.Eti viduka uchwara! Sema nao wamezidi sana kukariri mambo, yaani kila muuza ngada utakuta anazugia kwenye kuuza nguo, simu au vigari kadhaa vya kuzugia, mbona huwa hawadeal maybe na viwanda vidogo vidogo au vitu vingine?
#WooBoy. #MivimboNation. NIGGA, I TOLD U....
kwa hiyo unasema Rushwa ndio inakwamisha kumaliza biashara ya madawa ya kulevya Tz?!Viwanda vitawapaka grease..
Nani kakwambia kulikua shwari? nchi kama Tz haiwezi dhibiti biashara hii bali ni mbwembwe za kujisifu tu.
Imagine pamoja na sheria kali za china au arabuni na bado watu wana smuggle mizigo,sembuse nchi ya wala rushwa hii? think twice.