Watu watatu wafikishwa kortini wakikabiliwa na shitaka la kusafirisha Dawa Za Kulevya aina ya Heroine Kg 30

Watu watatu wafikishwa kortini wakikabiliwa na shitaka la kusafirisha Dawa Za Kulevya aina ya Heroine Kg 30

Noma sana halafu wanakuwa wanazuga na maduka ya nguo kuficha UZUNGU wa UNGA.

Said Mbasha Kwisha kazi.
Au viduka vya I phone unashangaa mtu anauza simu au ana kiduka uchwara cha nguo afu anakula bata mwanzo mwenga unaanza kujiona una gundu jinsi unavo hustle afu mishe haziendi...
Hili life fanya yako usijifanishe na watu asee utapasuka ni noma
 
Eti viduka uchwara! Sema nao wamezidi sana kukariri mambo, yaani kila muuza ngada utakuta anazugia kwenye kuuza nguo, simu au vigari kadhaa vya kuzugia, mbona huwa hawadeal maybe na viwanda vidogo vidogo au vitu vingine?
 
inasemekana huyo mdogo wake wema sepetu alikuwa anagangamala kutaja majina ya washirika wao lakini huyo fatuma alitiririka kataja wa bongo movie wa kutosha na kina prez tito inasemekana lists ni ndefu.

wadada wa bongo movie wamepoteza danga lililokuw alinamwaga hela halafu kali zaidi jamaa alikuwa anawapiga threesome hao mademu wawili fatma na aliu
 
Haitakiwi upagawe saaana nimambo ya kawida hpo inatakiwa uwe mpole usubil hukum kama hukum ni maisha.aise fanya juhudi ufe hataa na afande mmoja kwa kumpora bunduki
 
Back
Top Bottom