Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Twenty years, kwa hiyo waliua wakiwa na miaka 14, 12 na mwingine 10?Aliwataja watuhumiwa hao na umri wao wa sasa Rajabu Songo (34), kazi wa mtaa wa Machinjioni, Kata ya Mkuti Wilayani Masasi, Stanley Mtweve (32), Mkazi wa Mtaa wa Makaburini Kata ya Mkuti Wilayani Masasi na Yusuph Pahala (30), mkazi wa Mtaa wa Maendeleo Kata ya Mkomaindo wilayani Masasi.
Duh....