Hapa Jukwaani kuna mtu alisema hadi ngozi ya ng'ombe inachemshiwa supu Dar, inaitwa supu ya mapupu. Nilishangaa sana.Dar is dream city is like USA binafsi unabidi kufika DSM .
Jambo ninalolipenda DSM ni ule mnyonyororo wa thamani .
Mfano Kuku akichinjwa
-watauza nyama peke yake
-watauza miguu peke yake
-watauza utumbo peke yake
-watauza kichwa peke yake.
Ukitengeneza mnyororo wa thamani unakuwa umeongeza fursa za Kazi na kipato.
So DMS ni dream city.
Sure mkuuHapa Jukwaani kuna mtu alisema hadi ngozi ya ng'ombe inachemshiwa supu Dar, inaitwa supu ya mapupu. Nilishangaa sana.
Huwa nikimuona mtu mzima anajisifia kuzaliwa Dar na kuwaita wengine washamba wa kuja namuona kama mtu mwenye akili fyatu, kubwa jingwa fulani hivi.
Kipi hasa cha mtu kujivunia na kutambia wengine kuzaliwa Dar? Mtu mwenyewe anayejitapa unakuta ni chawa wa watu kutoka nje ya Dar au hana hata kibanda hiyo Dar yenyewe.
Halafu ni wapuuzi gani walioanzisha utaratibu wa kuita maeneo yote ya nje ya Dar
Huwa nikimuona mtu mzima anajisifia kuzaliwa Dar na kuwaita wengine washamba wa kuja namuona kama mtu mwenye akili fyatu, kubwa jingwa fulani hivi.
Kipi hasa cha mtu kujivunia na kutambia wengine kuzaliwa Dar? Mtu mwenyewe anayejitapa unakuta ni chawa wa watu kutoka nje ya Dar au hana hata kibanda hiyo Dar yenyewe.
Halafu ni wapuuzi gani walioanzisha utaratibu wa kuita maeneo yote ya nje
Ujumbe wa Manara huu ๐คฃ๐คฃHuwa nikimuona mtu mzima anajisifia kuzaliwa Dar na kuwaita wengine washamba wa kuja namuona kama mtu mwenye akili fyatu, kubwa jingwa fulani hivi.
Kipi hasa cha mtu kujivunia na kutambia wengine kuzaliwa Dar? Mtu mwenyewe anayejitapa unakuta ni chawa wa watu kutoka nje ya Dar au hana hata kibanda hiyo Dar yenyewe.
Halafu ni wapuuzi gani walioanzisha utaratibu wa kuita maeneo yote ya nje ya Dar "mkoani"?!
Wao watambe tu kwa ujinga wao ila wasiite watu wengine waliotoka nje washamba au waporipori. Kuna watu wamezaliwa Tukuyu huko ila smart sana kuliko waliozaliwa Tandale, magomeni, buza, mbagala n.kWell, kama mtu anaona kuzaliwa dar ni jambo la maana sana katika maisha yake mwache atambe.
La kukumbuka tu ni kwamba hakuna yoyote aliyekuwa na choice ya mahali au muda aliozaliwa.
Maana kuna wengine wanatambia hata miaka ya kuzaliwa achlilia mbali sehemu walizozaliwa.
Nmezaliwa huko mikoani.Huwa nikimuona mtu mzima anajisifia kuzaliwa Dar na kuwaita wengine washamba wa kuja namuona kama mtu mwenye akili fyatu, kubwa jingwa fulani hivi.
Kipi hasa cha mtu kujivunia na kutambia wengine kuzaliwa Dar? Mtu mwenyewe anayejitapa unakuta ni chawa wa watu kutoka nje ya Dar au hana hata kibanda hiyo Dar yenyewe.
Halafu ni wapuuzi gani walioanzisha utaratibu wa kuita maeneo yote ya nje ya Dar "mkoani"?!
Kwani hakuna MUHA aliyezaliwa Dar? Hivi umeuelewa uzi?Cha kushangaza vijana kutoka mikoani ndio wanakuwa maraisi wa nchi hii. Kariakoo imetawaliwa na vijana wa mikoani nyie wazaramo kazi kucheza Ngoma na umbea
Mtu anajitapa amezaliwa dar lakini pamoja na fursa zote hana anachofanya zaidi ya kukaa kwenye vijiwe vya umbea ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHuwa nikimuona mtu mzima anajisifia kuzaliwa Dar na kuwaita wengine washamba wa kuja namuona kama mtu mwenye akili fyatu, kubwa jingwa fulani hivi.
Kipi hasa cha mtu kujivunia na kutambia wengine kuzaliwa Dar? Mtu mwenyewe anayejitapa unakuta ni chawa wa watu kutoka nje ya Dar au hana hata kibanda hiyo Dar yenyewe.
Halafu ni wapuuzi gani walioanzisha utaratibu wa kuita maeneo yote ya nje ya Dar "mkoani"?!
Mimi mwenyewe ni mtoto wa Osheni rodi. Mita chache tu toka Ikulu.Kaka, kwani na wewe unawaonea wivu waliozaliwa Dar..!!??
Dah kaka 007 una nikataa mdogo wako ๐Mimi sio ndgu yako, sina ndgu wa mkoani
Mmh unaishi wapi dsm?Eem tuache sie wa Ocean Road born townn๐
Usikute unajionea wivu mwenyewe..!! ๐ ๐Mimi mwenyewe ni mtoto wa Osheni rodi. Mita chache tu toka Ikulu.
Kama hujazaliwa dar kama Yoda Basi mi sio ndgu yakoDah kaka 007 una nikataa mdogo wako ๐
Supu ya mapupu na mabandama ni kitu kingine na ngozi ya Ng'ombe ni kitu kingineHapa Jukwaani kuna mtu alisema hadi ngozi ya ng'ombe inachemshiwa supu Dar, inaitwa supu ya mapupu. Nilishangaa sana.
Watu hawajui kwa nini kuzaliwa Osheni Rodi zamani ilikuwa ni ujiko. Hebu fikiria mtu yupo Manzese (Ndiyo ilikuwa nje ya mji) kapatwa na utungu wa kujifungua usiku wa manane, atafikishwaje Osheni rodi?Usikute unajionea wivu mwenyewe..!! ๐ ๐