Hahahahaha...makasirikoooo...sio sisi tuliosababisha mzaliwe mkoani Mkuu, sio sisi kabisaaa....Heri aende akabadilishe place of birth aseme amezaliwa hata Katavi, Inyonga kuliko kuonekana na yeye amekuzwa na chips na supu ya utumbo wa kuku huko buza.
kwanza kuna maboss ukiwaambia wewe ni mzaliwa wa dar hawawezi kushirikiana na wewe kwenye jambo lolote lile serious, maana inaaminika kwamba nyie wazaliwa wa dar ni makanya boya na vichwa vyenu havina la maana zaidi ya stori za akina Diamond na Zuchu pamoja na Simba/Yanga.
What you want to tell us ni kwamba sisi tuliozaliwa Dar - Oysterbay, Masaki, Ada Estate ni bora kuliko wa Ilemela, Njiro na Iringa Mjini?Kuzaliwa Mburahati, Mbagala, Tandale kwa mfuga mbwa, Buza, Gongo la Mboto n.k iwe ni jambo la kujivuna kuliko kuzaliwa Ilemela, Njiro au Iringa mjini??
Sioni maana yoyote ya kujivuna kuwa umezaliwa mahali fulani, ni ushamba na ujinga tu wa watu wengi wanaozaliwa Dar kufikiria kuna wanachowazidi waliozaliwa nje ya Dar.What you want to tell us ni kwamba sisi tuliozaliwa Dar - Oysterbay, Masaki, Ada Estate ni bora kuliko wa Ilemela, Njiro na Iringa Mjini?
Kwahiyo shida yako ni maeneo ya uswahilini?
Nyerere amezaliwa Butiama,Hahahahaha...makasirikoooo...sio sisi tuliosababisha mzaliwe mkoani Mkuu, sio sisi kabisaaa....
Mzee wangu amezaliwa Dar na amestaafu akiwa afisa wa juu kwenye kazi aliyokuwa anafanya, mimi nimezaliwa Dar and I assure you kuna vitu naweza kuwa na wasiwasi navyo kujihusu, ila akili...yaani akili....haijawahi kuwa shida zangu. 😀 😀 😀 😀
Lakini hata yeye alipofika Mzizima (Dar es salaam) ilibidi atafute watu wa mjini wamsaidie kupigania uhuru.Nyerere amezaliwa Butiama,
Pole sana mtu wa mkoani. Huwezi kujua utamu wa kuzaliwa Dar hadi uwe umezaliwa Dar. Tuliza wenge mzee.Huwa nikimuona mtu mzima anajisifia kuzaliwa Dar na kuwaita wengine washamba wa kuja namuona kama mtu mwenye akili fyatu, kubwa jingwa fulani hivi.
Kipi hasa cha mtu kujivunia na kutambia wengine kuzaliwa Dar? Mtu mwenyewe anayejitapa unakuta ni chawa wa watu kutoka nje ya Dar au hana hata kibanda hiyo Dar yenyewe.
Halafu ni wapuuzi gani walioanzisha utaratibu wa kuita maeneo yote ya nje ya Dar "mkoani"?!
Watu mjini ndio walimuomba awe kiongozi wao wa kupigania uhuru, Yeye ndiye alikuwa msomi na mwenye kuwajua vizuri wazungu kuliko Waswahili wa Mzizima.Lakini hata yeye alipofika Mzizima (Dar es salaam) ilibidi atafute watu wa mjini wamsaidie kupigania uhuru.
Mbona hii comment imedhiirisha ni jinsi gani nyie wazaliwa wa dar mlivyo vichwa maji?Hahahahaha...makasirikoooo...sio sisi tuliosababisha mzaliwe mkoani Mkuu, sio sisi kabisaaa....
Mzee wangu amezaliwa Dar na amestaafu akiwa afisa wa juu kwenye kazi aliyokuwa anafanya, mimi nimezaliwa Dar and I assure you kuna vitu naweza kuwa na wasiwasi navyo kujihusu, ila akili...yaani akili....haijawahi kuwa shida zangu. 😀 😀 😀 😀
mzee wangu was just chilling😀😀😀😀...mzee wako anaonekana ni kikaragosi fulani tu
Eti "in dogo paten's voice" upumbavu mtupu, na hao ndio watu influential ambao mnawachukulia kama role models wa watoto wenu huko dar?mzee wangu was just chilling😀😀😀😀...
Sikia sasa sikia (in Dogo Paten's voice)......Jua tu kwamba huu mfano nilimpa huyo kichaa mwenzio aliposema kuwa watu wa Dar bosses hawataki kufanya nao kazi na kwamba ni empty sets kazini. Did I say Mzee wangu was better than watu wote wa mikoani? Hapana!!! Usinilishe maneno.
Kwamba kuenjoy mziki wa msanii ni kumuona role model?Eti "in dogo paten's voice" upumbavu mtupu, na hao ndio watu influential ambao mnawachukulia kama role models wa watoto wenu huko dar?
Hebu niambie entertainment yenu wakuja ni ipi?Wapumbavu kweli nyie, hii comment tu inaonesha jinsi gani kichwa chako kilivyojaa upumbavu mwingi wa kukariri ***** ***** cha wasanii wenu wa singeli.
Wanaonilipa Mkuu, Wanaonilipa. Sio kila mtu.Tunarudi pale pale ni nani mwenye akili timamu anaweza kukushirikisha kwenye jambo serious la kimaendeleo?
Hata majumbani tunaagiza wadada toka mkoani. Whats your point here?Nina wana kibao tu hapo Dar ambao wana maisha, kila wakitaka kufanya projects zap za kimaendeleo huwa wananiambia mimi niwatafutie vijana huku mikoani na ninafanya hivyo na wala hawajwahi kujutia.
Tatizo lenu wa mkoani mnapambana sana ila Dar kuna wenyewe na ndo hicho kinawauma. You can work your ass off ila ambacho huwezi fanya ni kubadili historia yako. Umezaliwa mkoani thats it, embrace it.Wewe mzaliwa wa dar sana sana akikutafuta basi ujue labda anataka frem mpya au kununua nyumba maana nyie wengi wenu ni madalali na hakuna kazi nyingine mnayoiweza.
Kwahiyo wewe ni chawa wa Abuu wa Nyamongo au sio? Kwahiyo na maendeleo yote mliyo nayo ila bila kula mdada wa Dar mnakuwa hamjakamilika. Yaani mjingamjinga anapata pesa Geita huko ila bila kula Wema Sepetu au Tunda anaona hajafika, unadhani sababu ni nini?Mbali na kudalalia nyumba,viwanja na fremu zaidi ya hapo labda udalali mwingine ni wa wanawake... yes, Mwanangu Abuu wa Nyamomgo ameshawatomba bongo movie stars wengi sana hapo Dar na mipango yote huwa anafanyiwa na nyie wazaliwa wa Dar.... mbali na hapo hakuna jambo lingine analoweza kushirikiana na nyie
Again umezidi kuthibitisha ujinga na uduni wa kifikra mliona nyie matoto ya dar.Kwamba kuenjoy mziki wa msanii ni kumuona role model?
Hebu niambie entertainment yenu wakuja ni ipi?
Wanaonilipa Mkuu, Wanaonilipa. Sio kila mtu.
Hata majumbani tunaagiza wadada toka mkoani. Whats your point here?
Tatizo lenu wa mkoani mnapambana sana ila Dar kuna wenyewe na ndo hicho kinawauma. You can work your ass off ila ambacho huwezi fanya ni kubadili historia yako. Umezaliwa mkoani thats it, embrace it.
Kwahiyo wewe ni chawa wa Abuu wa Nyamongo au sio? Kwahiyo na maendeleo yote mliyo nayo ila bila kula mdada wa Dar mnakuwa hamjakamilika. Yaani mjingamjinga anapata pesa Geita huko ila bila kula Wema Sepetu au Tunda anaona hajafika, unadhani sababu ni nini?
Ulitaka yaitweje mkuu?Halafu ni wapuuzi gani walioanzisha utaratibu wa kuita maeneo yote ya nje ya Dar "mkoani"?!
Angalia mjinga huyu, kwa hiyo wizi ndo ujanja?Ni kweli asilimua kubwa wanakuwaga washamba sana sasa msisemwe unakuja dar umetoka mkoani na malboro unashangaa ubungo zamani ile kwa sasa stendi ya magu upo tu halafu unaibiwa kila kitu halafu unakuwa omba omba hadi upate pesa ya kujikimu ndio umtafute uliyemjia hapo umepauka
Halafu hata kama yamezeeka yanataka ujana tu pumbavu kabisa! Ona ki mzungu pori kinajiona bado kijanki, Mau wa Kitenge and the like!Huwa nikimuona mtu mzima anajisifia kuzaliwa Dar na kuwaita wengine washamba wa kuja namuona kama mtu mwenye akili fyatu, kubwa jingwa fulani hivi.
Kipi hasa cha mtu kujivunia na kutambia wengine kuzaliwa Dar? Mtu mwenyewe anayejitapa unakuta ni chawa wa watu kutoka nje ya Dar au hana hata kibanda hiyo Dar yenyewe.
Halafu ni wapuuzi gani walioanzisha utaratibu wa kuita maeneo yote ya nje ya Dar "mkoani"?!
Upuuzi mtupu!Waliozaliwa Dar huwa ni vijana forever! 🤣