Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Hao walikuwa wengi sana.Kuna mmoja, ile anashuka Pantoni tu feri, akachukua kopo lake akachota maji ya bahari ili arudi nayo kwao..!!
Afu kuna wale waliokuwa wananunua mikate. Yaani uingie stendi ya Songea wakati ipo pale Karibu na KAURU kutoka Dar kwa basi la KISWELE, ZAINABS au BINCLEB (BBS) hujabeba mkate, we unakuwa hujatoka Dar..!!!Hao walikuwa wengi sana.
Zama wengine tunakua, ilikuwa watu wa mikoani wakija Dar lazima warudi mikoani wabebe tiketi ya UDA kwenda kwao kuonesha kuwa walipanda mabasi yaliyoungana (Ikarus).
Sasa kwa nini mtu akizaliwa Dar asione ufahari! Wewe umetoka zako mikoani na makegete yako unataka kuleta ujuaji Kwa watu wa Dar?
😃😀😅😅😆
Sisi wa Iringa "Comfort Video Coach" kwenye zile "cabin" za ndani kunakuwa kumejaa mikate...😆😅😀😃😃😄Afu kuna wale waliokuwa wananunua mikate. Yaani uingie stendi ya Songea wakati ipo pale Karibu na KAURU kutoka Dar kwa basi la KISWELE au ZAINABS hujabeba mkate, we unakuwa hujatoka Dar..!!!
Huna namna, hilo ndio jiji la ndoto za watu wengi.Jifanye unatokea Zanzibar kwa Boat au unatua na ndege tokea Zurich ndo utajua hakuna kitu hapo, hicho ni Kijiji kilichochangamka. Na Hawa mboga mboga party nao ni tatizo wanaongoza mazombi na wao wanafikiri wajanja liangalie li Makala liuso utafikiri zimwi Hatuna watu.
Yaani umeongea kama vile nyie wa Mbangamao, Likuyufusi, Kyaka, Mbimbi, Mwakaleli, Matema, etc huko wote mmetoboa..!!
Pamoja na kua nyie ni mahomeboy ila na nyie ni wa kujaMpaka sisi wa kyela ni wakuja.?
YAmani uwe mburula iwe CV!Dar ndio kila kitu hata ukiandika kwenye CV kuwa umezaliwa Dar ni added advantage compared to mtu aliezaliwa Ushirombo. Sio kila mtu anapata chance adhimu ya kuzaliwa Dar only kwa wachache na wenye bahati.
Mtoto wa Rock City.Inashangaza sana
Pamoja na ukubwa wa mji lakini ujuaji wa mambo ya kimji ni muhimu. Watu wa pwani duniani kote wapo kama watu wa Dar!Mtoto wa Rock City.
Rock city ni kama Dar tu sema watu wa Rock City hawako proud na mji wao.
I love Rock City.
Rock City is just another Dar Es Salaam.
we dogo jau sana Nairobi wapi, me nimezaliwa karen huko Nairobi nikakulia huko mpk six years tukahamia hapo naivasha,Tuliozaliwa Nairobi AKA Nairobera tutasemaje sasa kama wa Dar es salaam mnijisifu halafu kutwa mnakula miguu ya kunguru, pua ya nguruwe, mnachemsha mifupa iliyotupwa jalalani ilikusudi mpate supu isiyo na virutubisho.
Kuzaliwa Dar halafu unakula miguu ya kuku aliyekufa kwa kideri ni ukumanyoko😀.
Monetary doctor
Mbona hao wa Dar waoga tuu,ona watu wa Mbeya wanavyokinukisha kupotea kwa mdude!Pamoja na ukubwa wa mji lakini ujuaji wa mambo ya kimji ni muhimu. Watu wa pwani duniani kote wapo kama watu wa Dar!
Mbona unalia sasa🤣🤣🤣🤣Tuliozaliwa Nairobi AKA Nairobera tutasemaje sasa kama wa Dar es salaam mnijisifu halafu kutwa mnakula miguu ya kunguru, pua ya nguruwe, mnachemsha mifupa iliyotupwa jalalani ilikusudi mpate supu isiyo na virutubisho.
Kuzaliwa Dar halafu unakula miguu ya kuku aliyekufa kwa kideri ni ukumanyoko😀.
Monetary doctor
Sasa mbona unalia🤣🤣🤣🤣🤣Kujisifu unaishi Dar ni aina flani ya ushamba kama sio ushamba basi ufukara..
Haihiaji Visa kuishi mahala popote Tanzania as long as ni mTanzania..
Venye wa Tz wanavyobaguananga ni kama kipindi Kila wazungu ako na kuja hapa kuto control us.we dogo jau sana Nairobi wapi, me nimezaliwa karen huko Nairobi nikakulia huko mpk six years tukahamia hapo naivasha,
Akhii time nimekuja Tz, sikukuwa naelewa.... Juu kule tumezoeanga kula kidheri na mkimo,
Waah kitu niliwapendea wa Tz ni wako na warembo romantic aaii, sijawah ona Nairobi nzima,
Sema saa hii nishazoea dar nakula mpka utumbo na firigisi, mpk nimesahau kurudi kwetu huko kajiado
Nawaonea huruma.Mbona unalia sasa🤣🤣🤣🤣
Mitu ya Kenya!Venye wa Tz wanavyobaguananga ni kama kipindi Kila wazungu ako na kuja hapa kuto control us.
Saa hii ndo nimegundua kuwa whites kubagua blacks due to colours ni kitu kinafaa sababu hata Africans especially wa TZ wanabuaguna due to wapi wamezaliwanga.
Dar ni mji ndogo sana uki compare na Nairobi so wakazi wake should stop hii tabia.