secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Sahihi mkuu. Ukiona mtu anajisifu kuzaliwa sehemu fulani basi jua Kuna kitu hakiko sawa kwa upande wake.Kujisifu unaishi Dar ni aina flani ya ushamba kama sio ushamba basi ufukara..
Haihiaji Visa kuishi mahala popote Tanzania as long as ni mTanzania..
Ingekua inahitaji Visa kuishi Dar hapo inabidi ujisifu..Sasa mbona unalia🤣🤣🤣🤣🤣
Ndio ujazaliwa Sasa mzee usifosi mambo 🤣🤣🤣🤣🤣Ingekua inahitaji Visa kuishi Dar hapo inabidi ujisifu..
Ndiyo sisi mukuu Wala hatuna makuu kisa tulizaliwa Nairobi.Mitu ya Kenya!
Na venye kanairo iko far na dsm, twaeza compare dsm na Mombasa akhii, juu kitu napendanga wa tz life iko poa sana, , uchumi wa zakayo ni ume tight mazee mpka natamani kwenda kuosha matako ya waarabu omaniVenye wa Tz wanavyobaguananga ni kama kipindi Kila wazungu ako na kuja hapa kuto control us.
Saa hii ndo nimegundua kuwa whites kubagua blacks due to colours ni kitu kinafaa sababu hata Africans especially wa TZ wanabuaguna due to wapi wamezaliwanga.
Dar ni mji ndogo sana uki compare na Nairobi so wakazi wake should stop hii tabia.
Kuna sheikh mmoja pia nimemsikia anasema washamba wa kuja wameharibu mji, eti zamani kipindi cha mfungo futari zilikuwa zinaanikwa nje tu kuanzia Kariakoo hadi Buguruni wata wanapita wanajichotea tu wanakula, siku hizi washamba wamekuja mjini Dar kila mtu anajifungia ndani ya geti wanakula wenyewe!Hapo mbona kama unamsema "Le buggatti", mmeingiliana makoloni au?
Vijiweni story zao ni Harmonize na Diamond, wakibadili Simba na Yanga, Vijana wa Dsm wana kaushamba (sio wote) flani ambako wao kwao huona ni ujanja, ikiwemo na kuongea lafudhi yao pendwa wenyewe wanaita kidar es salaam..Sahihi mkuu. Ukiona mtu anajisifu kuzaliwa sehemu fulani basi jua Kuna kitu hakiko sawa kwa upande wake.
Anatumiwa kuzaliwa sehemu fulani kama defensive mechanism.
Hili ni pigo la utosi kwa mzee Mohammed SaidVijiweni story zao ni Harmonize na Diamond, wakibadili Simba na Yanga, Vijana wa Dsm wana kaushamba flani ambako wao kwao huona ni ujanja, ikiwemo na kuongea lafudhi yao pendwa wenyewe wanaita kidar es salaam..
Ujanja si lafudhi ya mtu au anapotokea, ndio maana hii nchi wazee wa Dsm wazee wa mjini walizidiwa akili na kijana mmoja kutoka Butiama, wamebaki wakilia hadi leo kwamba yule kijana wa Butiama aliwazunguka kwenye harakati za uhuru..😀
Kingine juzi tu hapa tulikuwa tunaongozwa na rais msukuma na lafudhi yake ya kisukuma na alitisha sana..
Yaani rigion yote ya Dar naeza ikompeya na kaunti ya turkana na ikawa tu equal in terms of life hardship.Na venye kanairo iko far na dsm, twaeza compare dsm na Mombasa akhii, juu kitu napendanga wa tz life iko poa sana, , uchumi wa zakayo ni ume tight mazee mpka natamani kwenda kuosha matako ya waarabu omani
Nimezaliwa nje..Ndio ujazaliwa Sasa mzee usifosi mambo 🤣🤣🤣🤣🤣
Nairobi ni Capital of East AfricaYaani rigion yote ya Dar naeza ikompeya na kaunti ya turkana na ikawa tu equal in terms of life hardship.
But when it comes to development naeza sama Naoirobo iko so far away japokuwa life ni tough juu Zakayo anazingua. Saa hii hata wazungu wengi utawakuta Nairobi hadi utasema hii Washington.
Yaani ni ngori.
Imagine miaka ya giza ile kuna jamaa kutoka Butiama anakuja kuwazidi akili vijana wa mjini..Hili ni pigo la utosi kwa mzee Mohammed Said
😂😂😂😂Kuzaliwa Dar halafu unakula miguu ya kuku aliyekufa kwa kideri ni ukumanyoko😀.
Ndio maana sababu mtu aliezaliwa ndani ya hospital hawezi kuwa na wivu pole sana Kwa kuzaliwa nje porini kama ulivyosema 🤣🤣🤣🤣🤣Nimezaliwa nje..
Hao wana ndoto kubwa sana sababu Dar ni getway ya kila kitu kila sehemu.Basi kuna Watanzania wana ndoto ndogo sana.
Ndo wale wale wanaoaminni ujanja ni kuvaa suruali iliyobana mapaja huku imenyofolewa magotini na pia imeshushwa kidogo chini ya nyash (mlegezo). Kichwani kiduko hadi mbinguni halafu ndani ya kichwa au ubongo hamna kitu, ukiongea tu neno Moja la kiingereza mtu anapoteana na kubadili mada kwa sababu hana shule.Vijiweni story zao ni Harmonize na Diamond, wakibadili Simba na Yanga, Vijana wa Dsm wana kaushamba (sio wote) flani ambako wao kwao huona ni ujanja, ikiwemo na kuongea lafudhi yao pendwa wenyewe wanaita kidar es salaam..
Ujanja si lafudhi ya mtu au anapotokea, ndio maana hii nchi wazee wa Dsm wazee wa mjini walizidiwa akili na kijana mmoja kutoka Butiama, wamebaki wakilia hadi leo kwamba yule kijana wa Butiama aliwazunguka kwenye harakati za uhuru..😀
Kingine juzi tu hapa tulikuwa tunaongozwa na rais msukuma na lafudhi yake ya kisukuma na alitisha sana..