Watanzania zaidi ya million 60Mahakama ziheshimiwe....
Hivi ile kauli ya ndg. John Mnyika kuhusu MAHAKAMA NA UTEUZI WA JAJI ina afya na adabu juu ya muhimili huu wa dola ?!!!
Chadema siasa za UZUSHI NA CHUKI haziwasaidii.....
Wewe ni ***** watu wanajipigia tu hapo LumumbaHuna uwezo huo wewe ni mama tu!
🤣🤣🤣SAA ya Katiba mpya ni sasa
MATAGA Kama Wewe Bora utulie tu na ujinga wako maana Kuna wenzako kina bia yetu muda uliwaumbua walikimbia vivuli vyao humu Mimi hua natulia tu najua muda ukifika nikufufua comments zenu na hapo Ina kua muda mzuri wa kuwaumbua Kwa utaahira wenurekodi mbaya za kihalafu na ukorofi walizo nazo wafuasi wa Mtuhumiwa wa Ugaidi Mbowe ndio zinapelekea ulinzi na usalama uimarishwe.
sio magereza tu bali hata mahakamini pindi anapo pelekwa inapaswa ulinzi uimarishwe.
hilo ni jambo la kawaida kwa watuhumiwa wa uhalifu wa kiwango cha juu ni lazima ulinzi uimarishwe.
Hivi huyu ni mkwe wake ?KAZI NZURI MCHENGELWA NA MAMA MKWE WAKO. ENDELEENI KUWAKANDAMIZA WATANGANYIKA WASIO NA HATIA.
Watanzania zaidi ya million 60🤣🤣🤣
Yaani mnatengeneza IGIZO ili muingie mabarabarani si ndio eee?!!
Ilipokuja "inshu" ya wamachinga mkaiona nayo ni fursa si ndio eee?!!🤣🤣
AMANI NA UTULIVU WA NCHI KWANZA
Yule Jaji alihongwa cheo ili kumpoteza kabisa Mbowe. Mahakama imekwisha najisiwaMahakama ziheshimiwe....
Hivi ile kauli ya ndg. John Mnyika kuhusu MAHAKAMA NA UTEUZI WA JAJI ina afya na adabu juu ya muhimili huu wa dola ?!!!
Chadema siasa za UZUSHI NA CHUKI haziwasaidii.....
🤣🤣🤣Watanzania zaidi ya million 60
Sasa wanaongozwa na wazanzibar!
Zanzibar na Tanganyika kote wameshika wazanzibar!
Taifa kubwa linanyanyasika kwa kutawaliwa na kitaifa kidogo
Subirini mahakama imuite Mnyika kwa sababu ya kuinajisi na kuibagaza kwa maneno yake ya hovyo......Yule Jaji alihongwa cheo ili kumpotezea kabisa Mbowe. Mahakama imekwisha najisiwa
🤣🤣🤣
Kwa taarifa yako Dr.Mwinyi ana asili ya Mkuranga pia.....
Upumbavu umekujaa kichwani.....
ENDELEA KUUFUKUZA UPEPO
Subirini mahakama imuite Mnyika kwa sababu ya kuinajisi na kuibagaza kwa maneno yake ya hovyo......
Kwa mtaji huo haki imeingiliwa !!!Leo Jumamosi Okt. 23, 2021 Jeshi la Magereza limewazuia watu wote waliokwenda Gereza la Ukonga kumwona Mhe. Freeman Mbowe kwa kile walichodai kuwa wamepokea maelekezo Ila hawasemi yametoka kwa nani. Ikumbukwe kuwa ni siku rasmi ya kutembelea Mahabusu na Wafungwa.
Askari Magereza walitoa agizo kwa watu waliofika Gereza la Ukonga kuwaona Mahabusu na Wafungwa kusubiri nje ya gereza mpaka utaratibu utakapokamilika. Wakati wakisubiri utaratibu magari ya Polisi yaliwasili na kuwakata kutawanyika, Jeshi hilo lilidai ni mkusanyiko usio halali.
Baada ya kauli ya Jeshi la Polisi, watu walichukua hatua ya kuingia ndani ya geti la gereza na kufuata utaratibu wa kujiandikisha ili kumwona mwenyekiti. Askari magereza waliwatenga wote waliokuja kumwona Mhe. Freeman Mbowe na kuwambiwa wanatakiwa kuwa na kibali cha kumwona.
Unapiga mayowe nyikani 🤣Vipi sindio ukweli
Watanzania zaidi ya million 60
Sasa wanaongozwa na wazanzibar!
Zanzibar na Tanganyika kote wameshika wazanzibar!
Taifa kubwa linanyanyasika kwa kutawaliwa na kitaifa kidogo
Unajaza "server" kwa marudio ya "kipang'ang'a"?!!!Watanzania zaidi ya million 60
Sasa wanaongozwa na wazanzibar!
Zanzibar na Tanganyika kote wameshika wazanzibar!
Taifa kubwa linanyanyasika kwa kutawaliwa na kitaifa kidogo
Umgehele sana veveulamwike pa milao unywe maboso neke wadze mu jamii forums kwandika uniya niya wako apa nyamule ligimilo ka lime kwi Isimani Kwani wihela lilungulu?
Ndi Pm nikupele namba ya waziri Lukuvi isaka vibarua VA kulima malungulu ghake!
eti unamuita "mhe.mbowe"?!!!.Leo Jumamosi Okt. 23, 2021 Jeshi la Magereza limewazuia watu wote waliokwenda Gereza la Ukonga kumwona Mhe. Freeman Mbowe kwa kile walichodai kuwa wamepokea maelekezo Ila hawasemi yametoka kwa nani. Ikumbukwe kuwa ni siku rasmi ya kutembelea Mahabusu na Wafungwa.
Askari Magereza walitoa agizo kwa watu waliofika Gereza la Ukonga kuwaona Mahabusu na Wafungwa kusubiri nje ya gereza mpaka utaratibu utakapokamilika. Wakati wakisubiri utaratibu magari ya Polisi yaliwasili na kuwakata kutawanyika, Jeshi hilo lilidai ni mkusanyiko usio halali.
Baada ya kauli ya Jeshi la Polisi, watu walichukua hatua ya kuingia ndani ya geti la gereza na kufuata utaratibu wa kujiandikisha ili kumwona mwenyekiti. Askari magereza waliwatenga wote waliokuja kumwona Mhe. Freeman Mbowe na kuwambiwa wanatakiwa kuwa na kibali cha kumwona.
Hivi wewe ni mke wa yule Mbunge aliyeshindwa kurudi bungeni mwaka 2020......?!!!!Hivi huyu ni mkwe wake ?
Pole sana mkuu...Watanzania zaidi ya million 60
Sasa wanaongozwa na wazanzibar!
Zanzibar na Tanganyika kote wameshika wazanzibar!
Taifa kubwa linanyanyasika kwa kutawaliwa na kitaifa kidogo