Watu wengi hawafanikiwi Kimaombi kwa Mwenyezi Mungu kutokana na kukosea hii sehemu ndogo sana ila muhimu mno

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Unajua kabisa hadi sasa (2024) idadi ya Watu wote tuliopo Duniani ni Bilioni 8 na Milioni 200 halafu bado ukiwa Unasali ama Chumbani Kwako au Kanisani au Msikitini unamuorodheshea Mwenyezi Mungu lundo la mahitaji ukidhani atakuwa na muda wa Kukujibu yote.

Kuanzia sasa GENTAMYCINE nakufundisha jinsi ya Kusali kwa Mwenyezi Mungu na aweze Kukusikia na hata Kukubariki kwa haraka pia....

Jitahidi kila Siku kuomba Kitu kimoja tu unachoona ni cha muhimu Kwako na ukiona amekibariki na umekipata unaweza ukaongeza na kingine na uendelee hivyo hivyo utaona utakavyobarikiwa haraka.

Utakuta Mtu mmoja ndani ya Siku anaomba Mwenyezi Mungu ampe Kazi, Gari, Nyumba, Mke, Shamba na mengineyo akidhani Mungu ana muda wa kutosha Kumsikiliza Yeye tu na kuwaacha Wengine Bilioni 8 na Milioni 200 waliopo Duniani.
 
Na siku ya pili anarudia kuomba vitu vile vile mpaka mungu anasema huyu jamaa haniamini....
 
Du, Una uwelewa mdogo Sana wa Mungu.

Mungu huyuhuyu alieumba Galaxy 2 trillion, na kila galaxy kuna ma billion ya nyota, na baadhi ya nyota ni kubwa kuliko dunia yetu ashindwe kujibu Vimaombi vyako 10.

Vizuizi vikubwa vya maombi:
1) Uovu: Mungu hawasikilizi waovu
2) ULEGEVU: Watu wengi hawaombi kwa bidii
 
Unajua kabisa hadi sasa (2024) idadi ya Watu wote tuliopo Duniani ni Bilioni 8 na Milioni 200 halafu bado ukiwa Unasali ama Chumbani Kwako au Kanisani au Msikitini unamuorodheshea Mwenyezi Mungu lundo la mahitaji ukidhani atakuwa na muda wa Kukujibu yote.

Kuanzia sasa GENTAMYCINE nakufundisha jinsi ya Kusali kwa Mwenyezi Mungu na aweze Kukusikia na hata Kukubariki kwa haraka pia....

Jitahidi kila Siku kuomba Kitu kimoja tu unachoona ni cha muhimu Kwako na ukiona amekibariki na umekipata unaweza ukaongeza na kingine na uendelee hivyo hivyo utaona utakavyobarikiwa haraka.

Utakuta Mtu mmoja ndani ya Siku anaomba Mwenyezi Mungu ampe Kazi, Gari, Nyumba, Mke, Shamba na mengineyo akidhani Mungu ana muda wa kutosha Kumsikiliza Yeye tu na kuwaacha Wengine Bilioni 8 na Milioni 200 waliopo Duniani.
Mungu anajibu mambo yote na anataka malango yote ya mwanadamu yawe wazi ni vile tu watu hawajibiwi mahitaji yao sababu wanaomba sana lakini hawasomi biblia. Biblia ndio itayokupa muongozo wa maombi yenye kukupa majibu
 
Mungu anajibu mambo yote na anataka malango yote ya mwanadamu yawe wazi ni vile tu watu hawajibiwi mahitaji yao sababu wanaomba sana lakini hawasomi biblia
Hivi mtu anaposema nalibariki jina la bwana anamaanisha nini. mwanadamu kweli anaweza kulibariki jina la mungu?
 
Mungu anajibu mambo yote na anataka malango yote ya mwanadamu yawe wazi ni vile tu watu hawajibiwi mahitaji yao sababu wanaomba sana lakini hawasomi biblia. Biblia ndio itayokupa muongozo wa maombi yenye kukupa majibu

Kuhusu kusoma Bibilia hapo sijakuelewa maana tunachanganya kati ya vitu vya kubarikiwa na vitu vya kuwajibikia.
 
Unapoomba unatakiwa kurudiarudia (Dua - petition) Yesu alifanya hivyo, watakatifu wa zamani walifanya hivyo. Bila petition ni ngumu kunibiwa. Maombi ya kurudiarudia yananguvu
Sasa mwingine akishaomba hajajibiwa siku ya kwanza, siku ya pilia anaomba akiwa na hasira na mashaka.
 
Kila mtu aombe anavyoona ni sawa, hakuna amjuae Mungu. Kila mtu anamsemea kulingana na imani yake tu na si uhalisia wa yeye alivyo "ukweli".
 
Unajua kabisa hadi sasa (2024) idadi ya Watu wote tuliopo Duniani ni Bilioni 8 na Milioni 200 halafu bado ukiwa Unasali ama Chumbani Kwako au Kanisani au Msikitini unamuorodheshea Mwenyezi Mungu lundo la mahitaji ukidhani atakuwa na muda wa Kukujibu yote.

Kuanzia sasa GENTAMYCINE nakufundisha jinsi ya Kusali kwa Mwenyezi Mungu na aweze Kukusikia na hata Kukubariki kwa haraka pia....

Jitahidi kila Siku kuomba Kitu kimoja tu unachoona ni cha muhimu Kwako na ukiona amekibariki na umekipata unaweza ukaongeza na kingine na uendelee hivyo hivyo utaona utakavyobarikiwa haraka.

Utakuta Mtu mmoja ndani ya Siku anaomba Mwenyezi Mungu ampe Kazi, Gari, Nyumba, Mke, Shamba na mengineyo akidhani Mungu ana muda wa kutosha Kumsikiliza Yeye tu na kuwaacha Wengine Bilioni 8 na Milioni 200 waliopo Duniani.
Kwanza anajua unaorodhesha ya nini? Wengine eti wanamuamlisha kana kwamba ni mfanyakazi wao.

Nimewaona wengine walionusurika kwenye ajali huko wakidai hawatakufa eti kushuhudia matendo Makuu ya Mungu wakati Kufa ni wajibu na lazima.

Hapo haikuwa nafasi Yao so waache ujinga 😁😁
 
Kipi kiswahili fasaha kati ya,
1.Roho wa bwana au roho ya bwana.
2.Tuko mbele zako au tuko mbele yako.
Nieleweshini enyi walumbi.
 
Hivi mtu anaposema nalibariki jina la bwana anamaanisha nini. mwanadamu kweli anaweza kulibariki jina la mungu?
Lugha rahisi hapo ni kumtukuza Mungu kwa ukuu wake,kumpa heshima na kumuona wathamani ata Mungu pia anavyokubariki lazima ashushe utukufu wake kwanza Yani amekuona wewe ni wathamani

Isaya 60:1
[1]Ondoka, uangaze; kwa kuwa nuru yako imekuja,
Na utukufu wa BWANA umekuzukia.
 
Unajua kabisa hadi sasa (2024) idadi ya Watu wote tuliopo Duniani ni Bilioni 8 na Milioni 200 halafu bado ukiwa Unasali ama Chumbani Kwako au Kanisani au Msikitini unamuorodheshea Mwenyezi Mungu lundo la mahitaji ukidhani atakuwa na muda wa Kukujibu yote.

Kuanzia sasa GENTAMYCINE nakufundisha jinsi ya Kusali kwa Mwenyezi Mungu na aweze Kukusikia na hata Kukubariki kwa haraka pia....

Jitahidi kila Siku kuomba Kitu kimoja tu unachoona ni cha muhimu Kwako na ukiona amekibariki na umekipata unaweza ukaongeza na kingine na uendelee hivyo hivyo utaona utakavyobarikiwa haraka.

Utakuta Mtu mmoja ndani ya Siku anaomba Mwenyezi Mungu ampe Kazi, Gari, Nyumba, Mke, Shamba na mengineyo akidhani Mungu ana muda wa kutosha Kumsikiliza Yeye tu na kuwaacha Wengine Bilioni 8 na Milioni 200 waliopo Duniani.
Ni muhimu zaidi kabla ya kuomba ujipatanishe na kujitakasa kwa toba kwa Mungu, kwa mawazo, maneno na matendo,

ili hatimae roho mtakatifu afanye makao ndani yako, na kuhuisha nafsi yako ili iwe rahisi kwako kuskia na kutambua sauti ya wito wa Mungu kwenye maisha yako.,
Ooh hallelujah..

Na kwenye maombi ya mahitaji yako kwa Mungu,
Ni vema na muhimu zaidi kuonyesha dhamira ya matumizi ya unachoomba endapo utapewa; kama je, kitakua Baraka na Neema kwako na wengine, au kitakua ni anasa, kero na usumbufu kwa wengine?

Maana kuna mtu anaomba Mungu ampatie gari kwajili ya kuzunguka kwenye mabaa mjini kufanya ufuska na kusumbua wake wa wenyewe...

Mungu akufanikishe katika Mahitaji yako Aimen 🐒
 
Unajua kabisa hadi sasa (2024) idadi ya Watu wote tuliopo Duniani ni Bilioni 8 na Milioni 200 halafu bado ukiwa Unasali ama Chumbani Kwako au Kanisani au Msikitini unamuorodheshea Mwenyezi Mungu lundo la mahitaji ukidhani atakuwa na muda wa Kukujibu yote.

Kuanzia sasa GENTAMYCINE nakufundisha jinsi ya Kusali kwa Mwenyezi Mungu na aweze Kukusikia na hata Kukubariki kwa haraka pia....

Jitahidi kila Siku kuomba Kitu kimoja tu unachoona ni cha muhimu Kwako na ukiona amekibariki na umekipata unaweza ukaongeza na kingine na uendelee hivyo hivyo utaona utakavyobarikiwa haraka.

Utakuta Mtu mmoja ndani ya Siku anaomba Mwenyezi Mungu ampe Kazi, Gari, Nyumba, Mke, Shamba na mengineyo akidhani Mungu ana muda wa kutosha Kumsikiliza Yeye tu na kuwaacha Wengine Bilioni 8 na Milioni 200 waliopo Duniani.
Mmmh Mungu wa baali na manabii wake ndiye anayetingwa na kazi nyingi na kusafiri mara kwa mara na ili askie maombi yako ni lazima aamshwe kwanza kwa kuwa ni mungu mchapa usingizi.

Lakini Mungu wa Eliya ni Mungu anayeshusha moto na kujibu maombi yote ya wale wanaomuomba dunia nzima na kwa wakati mwafaka kwa kuwa yeye huwa hatingwi.
 
Back
Top Bottom