Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Kumuabudu Mungu ni wajibu sio ombi na kama unataka kubarikiwa ni lazima umtafute Mungu kwa bidiiKuhusu kusoma Bibilia hapo sijakuelewa maana tunachanganya kati ya vitu vya kubarikiwa na vitu vya kuwajibikia.
Mithali 8:17
Lazima ujue mifumo ambayo Mungu anatoa baraka na mafanikio watu wengi wanaenda kanisani lakini hawajui mifumo sababu hawasomi biblia