Ni moja kati ya biashara ambayo wabongo wanajihusisha sana na NDUMBA, hata uwe msomi kama utahitaji kujimix na hao watu, kwao ndumba kwanza vingine vitafuata, usipokuwa tayari ni ngumu kupewa ushirikiano
Inahitaji uwekezaji mkubwa na bado hakuna gyarantee, unaweza kuwekeza milioni 100 ukaambulia milioni 20.
Umafia ni mwingi sana ukiwemo ujambazi na kuuana
Rafiki mnaechimba wote kukugeuka na hata kukuua ni dakika tu