Watu wengi sana wanatamani biashara ya madini wanapowaona matajiri lakini wanafichwa mengi, hii ni biashara katili sana

Watu wengi sana wanatamani biashara ya madini wanapowaona matajiri lakini wanafichwa mengi, hii ni biashara katili sana

Waulize wafanyakazi waliokifanya kazi kwenye ujenzi wa daraja la mtambaswala watakujibu kuhusu kafara zilizokifanywa na wachina je nao ulikuwa utapeli

Nyie wamatumbi na ujinga:

Screenshot 2025-08-04 122645.png
 
Ni moja kati ya biashara ambayo wabongo wanajihusisha sana na NDUMBA, hata uwe msomi kama utahitaji kujimix na hao watu, kwao ndumba kwanza vingine vitafuata, usipokuwa tayari ni ngumu kupewa ushirikiano

Inahitaji uwekezaji mkubwa na bado hakuna gyarantee, unaweza kuwekeza milioni 100 ukaambulia milioni 20.

Umafia ni mwingi sana ukiwemo ujambazi na kuuana

Rafiki mnaechimba wote kukugeuka na hata kukuua ni dakika tu
Usitukatishe tamaa mkuu,nipo njiani kuerekea geita
 
Biashara zenye kukupa pesa haraka kubari haya.
Kwanza kumejaa ushirikina na imani potofu.

Kama unabisha mbona shetani umfahamu.

Biashara za madini kuna makafara mengi mpaka binadamu anaweza kuwa kama kafara.

Madini ndo inakupa pesa haraka? Kafanye nawewe upate hizo pesa za haraka uje usimulie hapa. Wamatumbi mnapenda sana kuamini ujinga.
 
Shida haunijui ndio maana una haki ya kuongea hivyo....kwasababu nimekusimulia vitu vilivyotokea nikavishihudia kwa macho yangu.
Mkuu kabisa Kama hujawai kuwa mwana apolo huwezi kuelewa kabisa hizi Mambo za ndumba
 
Biashara gani yenye guarantee ili kila mtu afanye hiyo awe tajiri?

Toa majina matatu tu ya watu waliofanyiwa umafia na kuuwawa Geita au Chunya? Sio Mererani. Hii lazima iwe credible source sio story zenu za vijiweni za hearsay.

Kama uchawi unafanya kazi kwanini wasichimbe dar hadi waende sehemu zenye hayo madini?

Miafrika mnapenda sana kuamini ujinga.
 
Mkuu kabisa Kama hujawai kuwa mwana apolo huwezi kuelewa kabisa hizi Mambo za ndumba

Wewe sio mwana apolo wa kwanza na sio lazima mtu awe ashawahi kuwa na hiyo kazi ili kutoa opinion yake. Watanzania wangapi wamewahi kuwa marais ila kila siku Samia anakosolewa na watu ambao hata u monitor shule ya msingi hawajawahi shika.

Muwe mnashirikisha akili zenu enyi wamatumbi.
 
Ni moja kati ya biashara ambayo wabongo wanajihusisha sana na NDUMBA, hata uwe msomi kama utahitaji kujimix na hao watu, kwao ndumba kwanza vingine vitafuata, usipokuwa tayari ni ngumu kupewa ushirikiano

Inahitaji uwekezaji mkubwa na bado hakuna gyarantee, unaweza kuwekeza milioni 100 ukaambulia milioni 20.

Umafia ni mwingi sana ukiwemo ujambazi na kuuana

Rafiki mnaechimba wote kukugeuka na hata kukuua ni dakika tu
We acha tu. Kuna jamaa aliambiwa amuuwe baba yake kwa kumkata na shoka kichwani saa sita kamili mchana kweupe. Ni ili shimo liteme madini!! Utaweza?
 
Barrik hizo kampuni wanatumia zaidi fedha, experts, teknolojia za kisasa zenye gharama kubwa sana, wakifungua mgodi wanaweza kununua mitambo mikubwa sana yenye bajeti za wizara, ni levels nyingine kabisa

Matajiri wengi wa bongo wa migodini wanatumia njia za kienyeji, pamoja na kwamba wana vibilioni kadhaa kwenye account, bado hawajafikia uwezo wa kuchimba kama makampuni makubwa
Mwambie kuwa hadi kufikia hapo hao kina barric wamefanya umafia mkubwa kwa individuals na serikali kadha wa kadha duniani. Umafia sio mpaka utoe roho.. hata kukwepa kodi, ku decleare mapato kadogo ya madini lakini kumbe unachimba matani na matani ya madini nao ni umafia.
 
Barrik hizo kampuni wanatumia zaidi fedha, experts, teknolojia za kisasa zenye gharama kubwa sana, wakifungua mgodi wanaweza kununua mitambo mikubwa sana yenye bajeti za wizara, ni levels nyingine kabisa

Matajiri wengi wa bongo wa migodini wanatumia njia za kienyeji, pamoja na kwamba wana vibilioni kadhaa kwenye account, bado hawajafikia uwezo wa kuchimba kama makampuni makubwa
Punguza Imani za kishirikina mjomba, shida ni teknolojia ya uchimbaji uchawi hauwi mbadala wa machine. Unaongea ujinga
 
Ni moja kati ya biashara ambayo wabongo wanajihusisha sana na NDUMBA, hata uwe msomi kama utahitaji kujimix na hao watu, kwao ndumba kwanza vingine vitafuata, usipokuwa tayari ni ngumu kupewa ushirikiano

Inahitaji uwekezaji mkubwa na bado hakuna gyarantee, unaweza kuwekeza milioni 100 ukaambulia milioni 20.

Umafia ni mwingi sana ukiwemo ujambazi na kuuana

Rafiki mnaechimba wote kukugeuka na hata kukuua ni dakika tu
Kwa maelezo uliyoyatoa ni dalili kwamba machimboni ni eneo zuri zaidi la mtu kuwekeza fedha zake.
 
Ushirikina upo ila habari za wafanyabiashara wa madini kuuana hakuna huku!!
Hizo habari zipo mzee , kuna yule aliyeuliwa mwaka juzi tu hapa ...Stori yake imetrend sana , yaani don kauliwa kifala.
 
Niliwahi kushika 25m za madini,hata sijui ziliishaje?
 
Mtu anaanza uchimbaji bila kushirikisha wataalamu wa miamba na madini akikosa anakimbilia kusema uchimbaji bila ndumba haiwezekani.

Wabongo wamezoea kufanya biashara za uchuuzi tu biashara yeyote nje ya uchuuzi na kilimo wanaona ni ndumba.
 
Hizo habari zipo mzee , kuna yule aliyeuliwa mwaka juzi tu hapa ...Stori yake imetrend sana , yaani don kauliwa kifala.
Nani? Mirembe? Yule Dada alikuwa mfanyakazi wa GGM wala hafanyi biashara ya madini na kifo chake hakihusiani hata na madini ni upuuzi wao tu wale.
 
Back
Top Bottom