Watu wengi wa Kanda ya Ziwa sio wastaarabu wakati wa kula, wanatia kinyaa!

Hakuna lolote la maana linalopatikana kwa kulamba michirizi ya michuzi vidoleni ama masalia ya chakula zaidi ya uchafu.

Utakuta mtu mzima akila hata kama yuko peke yake lakini analamba vidole!

Unashangaa, kuna nini cha kushibisha anachoweza kulamba na kikakidhi zaidi ya matonge makubwa makubwa aliyobwia?

Nadhani "elimu ya meza" ifundishwe na mashuleni pia, wasiachiwe wazazi pekee.

Angalau hii elimu hutolewa majeshini pekee lakini hustaarabisha sana watu, sasa sijui hawa vijana wetu wa "mujibu" kama elimu hii hufundishwa!

Hakuna kero kubwa inayoteremsha hadhi ya mtu kama kula kijinga jinga bila staha!

Unawezaje mtu mwenye akili zako timamu, ukaanza kula njiani huku unatembea!

Kuna mengi ya kujifunza kuhusu ulaji.

Sote twaweza kuwa na dosari, lakini kula kwa kutafuna kwa sauti..."nyam nyam nyam".. huku ukitoa toa mate ni ushenzi mwingine unaofanywa na watu wasiostaarabika!
 
Kula njiani huku unatembea ni jambo la kawaida ndugu kwa dunia ya sasa ambayo suala la muda linachukua nafasi. Of course kuna aina ya vyakula huwezi kula ukiwa unatembea.
 
wewe ulienda kula au kuoa waache watu na mila zao
 
Nimeenda Nangurukulu nikakuta watu wanakunya pwani baharini.

Nimepita Muhoro mji unanuka mavi.

What are you talking about?
Mbona Nangulukuru ipo mbali sana na bahari??? Ipo 30 km kutoka Kilwa Masoko ambako bahari ipo. Au unasema Kilwa Kivinje?
 
Mkuu umenifanya nicheke kwa sauti humu kwenye basi maana nasafiri kutoka mwanza na hawa majamaa.
kweli nimewahi kula ugali na hawa majamaa, yani ugali wa moto ila majamaa hayaungui mikono.
Unakata tonge lipoe jamaa anaondoka nalo
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji849]
 
Ni kweli usemalo mkuu, kula kwa kulamba vidole ni dawa na kinga ktk magonjwa yatokanayo na kile chakula ulichokula, mfano mti akila marage landa anaumwa kichomo au kiungulia akifamya hivyo hawez kupatwa na hiyo shida au akila viazi vitamu au chakula Chochote chenye lumleltea shida
 
Nkong'wa nzoka. Shenji
 
Mkuu umenifanya nicheke kwa sauti humu kwenye basi maana nasafiri kutoka mwanza na hawa majamaa.
kweli nimewahi kula ugali na hawa majamaa, yani ugali wa moto ila majamaa hayaungui mikono.
Unakata tonge lipoe jamaa anaondoka nalo
Unavaa gloves usiungue
 

Pole jmn
 
Mbona Nangulukuru ipo mbali sana na bahari??? Ipo 30 km kutoka Kilwa Masoko ambako bahari ipo. Au unasema Kilwa Kivinje?
Ilikuwa vijiji vya karibu karibu hapo hapo kati ya Nangurukulu na Kilwa Kivinje.
 
Umeongea kitu cha maana sana mkuu,

Ujue kila jamii hua ina tamaduni zake,na kila jamii huona au huamini tamaduni zao ni bora kuliko tamaduni za wengine.
Kabisa,waTanzania wengi wamejaa majivuno ya kishamba tu,ni sawa na mtu yuko Dar utamsikia anawaita wengine eti huyu wa mkoani,ukimchunguza ye mwenyewe siyo wa Dar,unakuta katoka Ngara vijijini huko,lakini anawaita wenzie kwa dharau eti watu wa mikoani wakifika Dar ni washamba
 
Habarini ndugu zangu kiufupi tabia ulizozitaja hapo juu ni baadhi ya mapungufu ya mila na destuli zetu waafrika ikiwa ni pamoja na kuchangia maji ya kunawa kabla na baada ya chakula, kula kwenye sahani moja n.k suala la kuramba vidore kwa jamii uliowaangushia zigo lote la madhaifu lipo na linatokea kwa familia na familia sio wote napata shida kuelewa asili ya chakula cha wasukuma ambao ni ugali viazi mihogo na hoja yako ya kulamba vidole pengine kidogo unge quote jamii za kiislamu mana wao kulamba vidole ni suna, Yote kwa yote niwaombe kama unatoa mada kwa maana ya kuelimisha jamii we elimisha kwa ujumla kwamba tabia hizi sio nzuri sio unatafuta wa kuwaangushia jumba bovu kwa weakness ambazo zipo kwenye jamii tofautitofauti ikumbukwe ustaarabu wa kila mtu na sahani yake hivi vitu tumevipokea kutoka kwa jamii za wenzetu
 
Naunga hoja
 
Hapo ungevumilia tu au ungekula kidogo ukaekti umeshiba ukanawa kuliko kuomba msosi wako nnavyowajua hao watu watakususia wanaweza wasikutembelee au wakikutembelea wakasusia chakula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…