Watu wengi wa Kanda ya Ziwa sio wastaarabu wakati wa kula, wanatia kinyaa!

Usukumani ndani ukienda wewe usie msukuma wanakuita mswahili,wali unaliwa Kama ugali sinia kubwa sahani ya mchuzi juu.Mimi mara ya kwanza nafika huko nilishindwa kula ugali na mlenda nilikua sijazoea kula mlenda.
 
Kuna kula pamoja kwa maana familia inakusanyika mezani kila mtu anakuwa na sahani yake na chakula chake,kula pamoja ambako sikukubali ni ile kutia mikono 10 kwenye kibakuli kimoja kila mtu anapeleka Tonge kinywani mwake kisha mkono unarudi kwenye bakuli una matemate
 
Unaona kuishi marekani ni ujanja au ni achievement ushamba na ulimbukeni unakusumbua sana
 
Mbona fresh tu na ndio tumekua tukifanya hivyo hadi sasa. Ile ni nzuri na inaleta umoja, furaha na amani ndani ya familia. Alafu sikuwahi kujua kuwa kuna mikono inakuwa na matamate hadi kuona kwenye comment yako.
 
Mtu mzima hovyo! Kwa akili zako hizo za kenge unahisi ni wangapi wenye tabia hizo wako huku jf
 
Sisi kwetu chakula cha pamoja kinanoga tena pasipo vijiko mwendo wa kunyaga tu kwenye sahani kila mtu apambane ili awai kushiba 🤣🤣🤣na tushazoea
 
Watu wengi duniani ulaji wao mbaya sio kanda ya ziwa tu ndio maana jamii ya watu weupe wakawa tabia ya kila mtu na saani yake

Mfano mtu mzima anaenda kunawa bombani au anamwagiliziwa maji mikononi hili anawe kisha akale ananawa kwa mkono 1 yaani anajipaka maji tu bora kila mtu ale kwa saani yake tu
 
Hata hiyo nayo haina shida iwapo kila mmoja amenawa vizuri kabla ya kula
 
Vuka nenda Musoma jamaa wa kule huwa hawaoshi samaki vizuri wanakula na shombo yake alafu wakimaliza kula hawanawi vizuri pia unaweza kupanda daladala inanuka shombo ya samaki na haijabeba samaki kumbe abiria hawajanawa na sabuni
 
Yaan wewe ungekuwa shemeji yangu ningekupiga makofi Kwa aina yoyote Ile ningekulazimisha ujae kwenye 18 zangu halaf ungesimulia yaan umepewa mke unakuja kutusema hapa ?? Una akili kweli wewe mokwe
 
Kusema kweli watu wa kanda ile ni kinyaa kweli wakati wa kula!
Utakuta mtu anakula huku anatafuna kwa mdomo wote kuachama!
Kibaya zaidi akiwa anaongea huku anatafuna na kuchokonoa meno!
 
Nimekulia SHINYANGA na ni MSUKUMA ulichoandika hapo ni uongo 98%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…