Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kula pamoja kwa maana familia inakusanyika mezani kila mtu anakuwa na sahani yake na chakula chake,kula pamoja ambako sikukubali ni ile kutia mikono 10 kwenye kibakuli kimoja kila mtu anapeleka Tonge kinywani mwake kisha mkono unarudi kwenye bakuli una matemateChakula kinakuwa na baraka.
Nimetembelea nchi moja ya kiarabu na familia moja ya kimaskini.
Wakati wa kula hasa chakula cha mchana ni lazima wasubiriane. Huwa wanapanga nyumba ya kula.Leo kwa fulani kesho kwa fulani.
Juu ya umaskini wao ni watu wenye afya nzuri kuliko sisi huku tanaokula sufuria nzima ya sembe peke yetu.
Kudadeki 😂😂😂😂Wasukuma utawapenda kwenye kula muwa mtu ana muwa mrefu kumzidi anaumenya kuanzia juu hadi chini.
Ndo kabila linaloongoza kwa mashindano ya kula miwa nchini
Unaona kuishi marekani ni ujanja au ni achievement ushamba na ulimbukeni unakusumbua sanaWasukuma hawapo wa aina moja.
David Kidaha Makwaia, Francis Nyalali, Paul Bomani, Andrew Shija, John Momose Cheyo, John Rubambe, Bob Makani, Marcel Komanya, Musobi Mageni, Balozi Nhigula just to name a few, hao wote ni Wasukuma, nimekula nyumbani kwao, the best meals with the best table manners. All types of cuisines.
Nyie mnakwenda kwa watu masikini huko halafu mnachafua Wasukuma wote kwa stereotype za watu masikini, ambao wote mnakula ugali wenye wanga mtupu usio na virutubisho, mkizungukwa na nzi wasiohesabika huko Tanzania.
Acheni stereotypes.
Wasukuma are more than seven million strong, na pia kuna kila aina ya Wakonongo wanaolowea Usukumani kina Magufuli hawa wanajiita Wasukuma, you can't possibly stereotype us and still be accurate.
Njoo kwetu Mwanza, Shinyanga, Mbezi Beach, Oysterbay, New York, New Jersey, DC Massassuchetts, London and all over the world nikuoneshe Wasukuma wanavyokula.
Acha ku steteotype watu kwa kutumia kigezo cha subset ya wenye umasikini na kukosa elimu.
Tukianza kwenda hivyo, ninaweza kusema wabongo mlio Tanzania bado mnakula mavi, ndiyo maana bado mnasumbuliwa na kipindupindu mpaka leo.
Haaahaaaa hii commentUsisahau ulaji ubwabwa kwa wazee wa makobazi na ndevu zao wali mtu anauchafua kwa mikono yake yote then anatia mdomoni kisa uliobakia mkononi anakung'utia humo humo kwenye sinia.
Wanafanyaje😂😂Mjomba kuna wahaya wanaingia hpa nna jamaa zangu wa kihaya mjni hpa ukila nao jiandae kujionea maajabu mnakula changanyikeni lkn wao km wanakula kila mtu sahani ya peke yake
Mbona fresh tu na ndio tumekua tukifanya hivyo hadi sasa. Ile ni nzuri na inaleta umoja, furaha na amani ndani ya familia. Alafu sikuwahi kujua kuwa kuna mikono inakuwa na matamate hadi kuona kwenye comment yako.Kuna kula pamoja kwa maana familia inakusanyika mezani kila mtu anakuwa na sahani yake na chakula chake,kula pamoja ambako sikukubali ni ile kutia mikono 10 kwenye kibakuli kimoja kila mtu anapeleka Tonge kinywani mwake kisha mkono unarudi kwenye bakuli una matemate
Kuna mmoja nilikutana nae mahali anakunywa Juice ya baridi sasa ile vuta yake juice ni kama anakunywa chai ya Moto nadhani mnanielewa ndugu wasomaji maana haiandikikiki ile namna anavuta.....USHAURI:Wazazi wa kanda ya ziwa wafundisheni vijana wenu ustaarabu wakati wa kula.
Mtu mzima hovyo! Kwa akili zako hizo za kenge unahisi ni wangapi wenye tabia hizo wako huku jfPicha linaanza, nimeenda ukweni kanda ya ziwa kulipa mahari. Siku hiyo walichinja Ng'ombe na msosi ulikuwa wa kutosha. Muda wa kula nakumbuka sisi tuliwekwa sehemu moja na wenyeji wetu wawili ili tusiwe wapweke, daah walivyokuwa wanalamba vidole wale mabwana hadi nikaghairi kula. Wenyewe wanasema kuwa haitakiwi mkono ubaki na mabaki ya chakula, kwahiyo wanalamba mikono haswa ili kuisafisha huku wanaendelea kula, pia hawajui kula sehemu moja. Muda huu atamega tonge upande huu, ila tonge la pili litamegwa upande ule na tonge la tatu litamegwa katikati. Nikamtumia meseji waif afanye mchakato aniletee chakula cha peke yangu,kweli kikaletwa nikala. Japo maneo ya chichini yaliongeleka kuwa sipendi kula sahani moja na wenyeji.
Baada ya kuwa mwenyeji hii kanda kwa takribani miaka minne ndo nimegundua kuwa ile siku ya mahari haikuwa bahati mbaya, watu wengi huku kuanzia Simiyu, Shinyanga, Mwanza hadi mara wapo hivyo. Kukuta mtu anakula huku anajichokonoa meno kwa vidole mbele za watu ni kawaida, kula na kukibehulia chakula ni kawaida, kula huku analamba vidole vyote vitano ni kawaida sana, Kula chakula bila kuchagua upande ndo kabisa hawa jamaa ni mafundi, wanadonoa chakula kama kuku.Inatia hasira sana na inakera kushuhudia watu wa namna hii.
Angalau kidogo kwa waliosoma soma na wale wenye exposure ya kusafiri sehemu mbalimbali ndo wanaunafuu.
USHAURI:Wazazi wa kanda ya ziwa wafundisheni vijana wenu ustaarabu wakati wa kula.
Kuna mashemeji zangu walikuja kunitembelea ila nikawaambia waziwazi kuwa sipendi kumuona mtu anakula hovyo kama mbwa hapa nyumbani kwangu.Walienda kusimulia huko walipotoka kuwa nina roho mbaya ila mimi sijali.
Sisi kwetu chakula cha pamoja kinanoga tena pasipo vijiko mwendo wa kunyaga tu kwenye sahani kila mtu apambane ili awai kushiba 🤣🤣🤣na tushazoeaWewe kwenu wapi?😁😆, tambua tu kuwa suala la kula pamoja ni kipengele sana mkuu. Kuna sehemu hapa hapa duniani ukila kwa mikono unawatia kinyaa.
Usiombe pia kula biriani na watu ambao hawako katika huo ustaarabu, uone anavyorudisha kile alichochota kisha kula kikabaki baki katika kiganja na kukirusha katika sahani kisha kikarudi katika sinia zima. Lakini hii haitoshi kuiita tabia ya watu wa kanda ya Pwani😆
Watu wengi duniani ulaji wao mbaya sio kanda ya ziwa tu ndio maana jamii ya watu weupe wakawa tabia ya kila mtu na saani yakePicha linaanza, nimeenda ukweni kanda ya ziwa kulipa mahari. Siku hiyo walichinja Ng'ombe na msosi ulikuwa wa kutosha. Muda wa kula nakumbuka sisi tuliwekwa sehemu moja na wenyeji wetu wawili ili tusiwe wapweke, daah walivyokuwa wanalamba vidole wale mabwana hadi nikaghairi kula. Wenyewe wanasema kuwa haitakiwi mkono ubaki na mabaki ya chakula, kwahiyo wanalamba mikono haswa ili kuisafisha huku wanaendelea kula, pia hawajui kula sehemu moja. Muda huu atamega tonge upande huu, ila tonge la pili litamegwa upande ule na tonge la tatu litamegwa katikati. Nikamtumia meseji waif afanye mchakato aniletee chakula cha peke yangu,kweli kikaletwa nikala. Japo maneo ya chichini yaliongeleka kuwa sipendi kula sahani moja na wenyeji.
Baada ya kuwa mwenyeji hii kanda kwa takribani miaka minne ndo nimegundua kuwa ile siku ya mahari haikuwa bahati mbaya, watu wengi huku kuanzia Simiyu, Shinyanga, Mwanza hadi mara wapo hivyo. Kukuta mtu anakula huku anajichokonoa meno kwa vidole mbele za watu ni kawaida, kula na kukibehulia chakula ni kawaida, kula huku analamba vidole vyote vitano ni kawaida sana, Kula chakula bila kuchagua upande ndo kabisa hawa jamaa ni mafundi, wanadonoa chakula kama kuku.Inatia hasira sana na inakera kushuhudia watu wa namna hii.
Angalau kidogo kwa waliosoma soma na wale wenye exposure ya kusafiri sehemu mbalimbali ndo wanaunafuu.
USHAURI:Wazazi wa kanda ya ziwa wafundisheni vijana wenu ustaarabu wakati wa kula.
Kuna mashemeji zangu walikuja kunitembelea ila nikawaambia waziwazi kuwa sipendi kumuona mtu anakula hovyo kama mbwa hapa nyumbani kwangu.Walienda kusimulia huko walipotoka kuwa nina roho mbaya ila mimi sijali.
Hata hiyo nayo haina shida iwapo kila mmoja amenawa vizuri kabla ya kulaKuna kula pamoja kwa maana familia inakusanyika mezani kila mtu anakuwa na sahani yake na chakula chake,kula pamoja ambako sikukubali ni ile kutia mikono 10 kwenye kibakuli kimoja kila mtu anapeleka Tonge kinywani mwake kisha mkono unarudi kwenye bakuli una matemate
Mtuache, ndiyo utamaduni wetu; ningekufahamu na dada yetu usingeoaMimi ni wa huku huku Kanda ya ziwa tena msukuma, usemalo ni kweli 100%
Yaan wewe ungekuwa shemeji yangu ningekupiga makofi Kwa aina yoyote Ile ningekulazimisha ujae kwenye 18 zangu halaf ungesimulia yaan umepewa mke unakuja kutusema hapa ?? Una akili kweli wewe mokwePicha linaanza, nimeenda ukweni kanda ya ziwa kulipa mahari. Siku hiyo walichinja Ng'ombe na msosi ulikuwa wa kutosha. Muda wa kula nakumbuka sisi tuliwekwa sehemu moja na wenyeji wetu wawili ili tusiwe wapweke, daah walivyokuwa wanalamba vidole wale mabwana hadi nikaghairi kula. Wenyewe wanasema kuwa haitakiwi mkono ubaki na mabaki ya chakula, kwahiyo wanalamba mikono haswa ili kuisafisha huku wanaendelea kula, pia hawajui kula sehemu moja. Muda huu atamega tonge upande huu, ila tonge la pili litamegwa upande ule na tonge la tatu litamegwa katikati. Nikamtumia meseji waif afanye mchakato aniletee chakula cha peke yangu,kweli kikaletwa nikala. Japo maneo ya chichini yaliongeleka kuwa sipendi kula sahani moja na wenyeji.
Baada ya kuwa mwenyeji hii kanda kwa takribani miaka minne ndo nimegundua kuwa ile siku ya mahari haikuwa bahati mbaya, watu wengi huku kuanzia Simiyu, Shinyanga, Mwanza hadi mara wapo hivyo. Kukuta mtu anakula huku anajichokonoa meno kwa vidole mbele za watu ni kawaida, kula na kukibehulia chakula ni kawaida, kula huku analamba vidole vyote vitano ni kawaida sana, Kula chakula bila kuchagua upande ndo kabisa hawa jamaa ni mafundi, wanadonoa chakula kama kuku.Inatia hasira sana na inakera kushuhudia watu wa namna hii.
Angalau kidogo kwa waliosoma soma na wale wenye exposure ya kusafiri sehemu mbalimbali ndo wanaunafuu.
USHAURI:Wazazi wa kanda ya ziwa wafundisheni vijana wenu ustaarabu wakati wa kula.
Kuna mashemeji zangu walikuja kunitembelea ila nikawaambia waziwazi kuwa sipendi kumuona mtu anakula hovyo kama mbwa hapa nyumbani kwangu.Walienda kusimulia huko walipotoka kuwa nina roho mbaya ila mimi sijali.
🤣🤣🤣🤣🤣Hawajui kula, je binti Yao unamuonaje kwenye idara zote tatu?
1.Yaani upishi
2. Huduma nyeti pamoja na urembo na tako.
3. Utafutaji....
Kusema kweli watu wa kanda ile ni kinyaa kweli wakati wa kula!
Utakuta mtu anakula huku anatafuna kwa mdomo wote kuachama!
Kibaya zaidi akiwa anaongea huku anatafuna na kuchokonoa meno!
yaani huyu jamaa exposure yake haijamsaidia hata kidogo anapaona marekani kama mbinguni kwa baba ana ushamba mwingi sanaUnaona kuishi marekani ni ujanja au ni achievement ushamba na ulimbukeni unakusumbua sana