Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Baelezee baambie baelewe ๐Kijana tumika kwa manufaa ya watanganyika , mtu mwenye nafasi kama wewe sio vizuri kufanya ufuska wa kisiasa kwa ndugu zako.
Kabisa kijana ana nafasi nzuri ila kaamua kugeuka zombiBaelezee baambie baelewe ๐
Exactly ๐ฏKabisa kijana ana nafasi nzuri ila kaamua kugeuka zombi
Kijana chapa kazi kwa weledi nakuonya kama mtanganyika๐2030 mkuu, usije ingia tu kwa wajumbe ntagoma
we si mkunja ngumi huezi elewa kinachoendelea ndanNO REFORMS NO ELECTION hakuna mtu anayepewa hela ya voucher kama unavyotaka kudanganya......ni mapenzi ya watanzania wanaopenda Haki, Ukweli, uwazi;
Watanzania wanaochukia utekaji, mauaji, kulawiti. upotevu wa watu nk
Naweza kujua zaidi yako bwashee ila nimetulia tusku tukieleza undan wa chadema apa mbna mtakikimbia chama
Kijana pm yangu ipo wazi unaweza ukaja nikakupa hata kazi kuliko kuja kuandika vitu visivyo na maana hapa jukwaanisku tukieleza undan wa chadema apa mbna mtakikimbia chama
Kazi hautaki?havina maana vp na nmeleta tshirt aisee ama nichukue tshirt zangu
Oyee mkija kwenye biashara zangu , binafsi sio hoyee ni spana tu , hakuna mchaga fala bwashee labda Mangi Mlay tu na wamarangu tunawajua zao๐คccm hoyeee!
mitano ya mama biashara mtaoga pesaOyee mkija kwenye biashara zangu , binafsi sio hoyee ni spana tu , hakuna mchaga fala bwashee labda Mangi Mlay tu na wamarangu tunawajua zao๐ค
Huyo arudi Kizimkazi, Hatakiwi tena hapa tanganyika huru.mitano ya mama biashara mtaoga pesa