Watu wengi walipoteza akaunti zao katika sakata la kucomment "No reform No ELection'

mitano ya mama biashara mtaoga pesa
Sijawahi sema sio mitano tena kwa mama kwa sasabu pesa za viazi nazitaka pia ila haiondoi maana kuwa lissu ndio mkombozi wa taifa , mama mikumi tena ila akitoka mshaurini nchi inapaswa iachwe kwa vichwa kama lissu ili kupata maendeleo ya kweli .🤔
 
singida yenyewe mpaka leo hawajapata maendeleo ndo iwe tz 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…