Watu wengi walipoteza akaunti zao katika sakata la kucomment "No reform No ELection'

President anatakiwa kua msomi pia, mfano wakija watu wasisema test tube imeungua wewe ukaidhinisha bajeti
Msomi simnichukue mimi bwashee πŸ˜… kuliko bi mkubwa😁
 
Pumbavu πŸ˜…
navokujua wewe ukishapata hicho cheo mwezi tu unataka kustaafu, sababu kibao mara matibabu baada ya mda tunaskia umenunua mansion pemben na hospitali ushahidi usiharibike
 
Hebu Kajambe huko ukimaliza katawaze No reform No Election
ila oktoba si unatiki pale tunaenda na mama SGR ifike mpaka kigali, yaani mkimaliiza kampeni mburahati unapanda sgr moja kwa moja mpaka kwenu kinshasha
 
navokujua wewe ukishapata hicho cheo mwezi tu unataka kustaafu, sababu kibao mara matibabu baada ya mda tunaskia umenunua mansion pemben na hospitali ushahidi usiharibike
Hapana kaka nikioga wiki moja na pesa ushamba utaisha nitaanza kufanya mambo ya maana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Jimbo gani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…