Watu wenye furaha ni wale ambao hawana muda kuwaza yaliyopita wala yajayo, wanaishi wakati uliopo kwa kuutendea haki

Uko sahihi.
The future is now....
Tunaposema najenga nyumba nzuri najiandaa na future hiyo future ni lini?maana ikiisha tunaanza kuishi now..
We live tomorrow madam, amini hivyo!!
 
Tufanyaje Sasa hapo...
Maana tusipowaza ya kesho utaamka ukoroge uji....hata chumvi ya kutia umo ukose
 
In this life baada ya kusoma Kitabu cha The Power of Now by Echhart Tolle nimeelewa kuwa sisi kama binadamu huwa tunajidanganya sana kuhusu kuwaza mambo yajayo na yaliyopita.

Honestly, hakuna hata siku moja mtu unaweza ukaamka uka-experience kuhusu future na past ila utaamka na ku-experience now.

Sasa kama kila wakati unajikuta upo now (wakati uliopo) unachobidi kufanya ni ku-enjoy maisha muda wote, 24/7.

Na watu wenye furaha ni wale ambao hawana muda wa kuwa na hofu kuhusu mambo yajayo au sana kuwaza yaliyopita.

That is way watoto wadogo muda Mwingi wapo happy because they don't think about past or future deeply.

So tomorrow is dulusio,n kesho huwa haipo ni akili tu ya binadamu ndo ilakaa ikabuni masaa na siku lakini binadamu aliye hai huwa haishi past wala future ila anaishi now.
Basi vichaa ndo wanafaraha maana haiwezekani mtu timamu usiiwazie kesho yako
 
Yaani unawekeza, unajenga, unazaa na unasomesha, unafanya savings ili tu kesho uishi. Otherwise ungeishi kama ndege wa angani.
Sijawahi kuelewa Hili somo..kwani ukijenga nyumba utaiweka uje ukae hiyo future mnayoisema?Si ndio naanza nayo Moja Kwa Moja au ?
 
In this life baada ya kusoma Kitabu cha The Power of Now by Echhart Tolle nimeelewa kuwa sisi kama binadamu huwa tunajidanganya sana kuhusu kuwaza mambo yajayo na yaliyopita.

Honestly, hakuna hata siku moja mtu unaweza ukaamka uka-experience kuhusu future na past ila utaamka na ku-experience now.

Sasa kama kila wakati unajikuta upo now (wakati uliopo) unachobidi kufanya ni ku-enjoy maisha muda wote, 24/7.

Na watu wenye furaha ni wale ambao hawana muda wa kuwa na hofu kuhusu mambo yajayo au sana kuwaza yaliyopita.

That is way watoto wadogo muda Mwingi wapo happy because they don't think about past or future deeply.

So tomorrow is dulusio,n kesho huwa haipo ni akili tu ya binadamu ndo ilakaa ikabuni masaa na siku lakini binadamu aliye hai huwa haishi past wala future ila anaishi now.
Watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri huwa wanaishi kwa raha sana
 
Kuna mwamba anaitwa Bujibuji, alishawahi kunifundisha hili siku tuliyokutana kwa mara ya kwanza
 
Sijawahi kuelewa Hili somo..kwani ukijenga nyumba utaiweka uje ukae hiyo future mnayoisema?Si ndio naanza nayo Moja Kwa Moja au ?
Unazaa ili kutengeneza generation yako, miaka 100 ijayo utakuwa bado unaishi kupitia vizazi vyako.

Unajenga ili kuusitiri uzee wako, now una nguvu za kutafuta, unaweza kuishi kwa kutumia wallet yako, ila kwa sababu ya yasiyojulikana, 60s yako unaijenga leo.
 
Back
Top Bottom