Watu wenye furaha ni wale ambao hawana muda kuwaza yaliyopita wala yajayo, wanaishi wakati uliopo kwa kuutendea haki

Wenye furaha ni wale ambao hawakusoma, hawadhibitiwi na muda au mafanikio. Hawazi mambo mengi au makubwa. Kukicha ndo anawaza afanye nini kwa wakati huo. Wanaoongoza kwa Stress ni waliosoma angalau kuanzia diploma na kuendelea, ni full stress.
The less you know the better
 
Uko sahihi.
The future is now....
Tunaposema najenga nyumba nzuri najiandaa na future hiyo future ni lini?maana ikiisha tunaanza kuishi now..
We live tomorrow madam, amini hivyo!!
 
Tufanyaje Sasa hapo...
Maana tusipowaza ya kesho utaamka ukoroge uji....hata chumvi ya kutia umo ukose
 
Basi vichaa ndo wanafaraha maana haiwezekani mtu timamu usiiwazie kesho yako
 
Yaani unawekeza, unajenga, unazaa na unasomesha, unafanya savings ili tu kesho uishi. Otherwise ungeishi kama ndege wa angani.
Sijawahi kuelewa Hili somo..kwani ukijenga nyumba utaiweka uje ukae hiyo future mnayoisema?Si ndio naanza nayo Moja Kwa Moja au ?
 
Watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri huwa wanaishi kwa raha sana
 
Kuna mwamba anaitwa Bujibuji, alishawahi kunifundisha hili siku tuliyokutana kwa mara ya kwanza
 
Sijawahi kuelewa Hili somo..kwani ukijenga nyumba utaiweka uje ukae hiyo future mnayoisema?Si ndio naanza nayo Moja Kwa Moja au ?
Unazaa ili kutengeneza generation yako, miaka 100 ijayo utakuwa bado unaishi kupitia vizazi vyako.

Unajenga ili kuusitiri uzee wako, now una nguvu za kutafuta, unaweza kuishi kwa kutumia wallet yako, ila kwa sababu ya yasiyojulikana, 60s yako unaijenga leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…