Watu wenye furaha ni wale ambao hawana muda kuwaza yaliyopita wala yajayo, wanaishi wakati uliopo kwa kuutendea haki

Angalau nimekuelewa hapa...
 
Very true!! Watoto wadogo na vichaa hawa wanaishi kwa furaha ....Ingekuwa vizuri watu wakafuta kumbukumbu za nyuma zote zinaumiza sana.

Hata tajiri kuna kipind akikumbuka maisha ya umaskini kama ndipo alipotoka anaumia sana.
 
Kesho ya watoto? Huitafuti leo?
Kesho is delussion huwa haipo wewe Usiache stay positive Muda huu maana Hakuna hata siku moja utajikuta unaishi Kesho Bali leo now.

Habari za past na future zipo setup na Akili ya binadamu ili kutafuta utofauti katika Mambo lakini Binadamu anabidi kuishi leo iliyo Bora now
 
Very true!! Watoto wadogo na vichaa hawa wanaishi kwa furaha ....Ingekuwa vizuri watu wakafuta kumbukumbu za nyuma zote zinaumiza sana.

Hata tajiri kuna kipind akikumbuka maisha ya umaskini kama ndipo alipotoka anaumia sana.
Kweli mkuu upo sahihi hata tajiri akikumbuka umasikini wake anaumia Sana na akiwaza Kesho Sana kuhusu Kesho anaweza pata hofu.
 
Asante kwa kuandika nilichotaka kuandika.....@ERoni jibu ni hili mkuu
 
Wenye furaha ni wale ambao hawakusoma, hawadhibitiwi na muda au mafanikio. Hawazi mambo mengi au makubwa. Kukicha ndo anawaza afanye nini kwa wakati huo. Wanaoongoza kwa Stress ni waliosoma angalau kuanzia diploma na kuendelea, ni full stress.
Wewe umenena japo sio wote ila kwa kiasi kikubwa wana furaha.
 
Sio Kweli kabisa binadamu wa kweli ni yule aliofikiri jana na leo na kesho hicho ndio kipimo cha binadamu ama mtoto mdogo hana choice ndio maana kazi yake kubwa ni kucheza sababu bado mdogo.
 
Jibu lake halijakaa sawa hata kidogo, wanaoishi leo ni ndege wa angani tu!!
Hiyo past na future imetengenezwa na Akili ya binadamu ili kutafuta utofauti katika Mambo ya Ulimwengu . Hakuna hata siku moja utajikuta upo past au upo future so chochote unachokihitaji kipo wakati huu now .

Maisha ni now ..
 
Sio Kweli kabisa binadamu wa kweli ni yule aliofikiri jana na leo na kesho hicho ndio kipimo cha binadamu ama mtoto mdogo hana choice ndio maana kazi yake kubwa ni kucheza sababu bado mdogo.
Nakubaliana na hoja yako hakuna la ziada hapo.
 
Sio Kweli kabisa binadamu wa kweli ni yule aliofikiri jana na leo na kesho hicho ndio kipimo cha binadamu ama mtoto mdogo hana choice ndio maana kazi yake kubwa ni kucheza sababu bado mdogo.
Ata ukifikiri kesho una jisumbua tu lazima uishi wakati uliopo , ukifikiri kesho bila kuishi Leo utajikuta ata hiyo kesho hauiishi unafikiri kesho kutwa hivyo hivyo na kuendelea mwisho wa siku unakufa bila kujua ulikuja kuchukua nini kwa sababu uliishi maisha ya kufikirika.
 
Ni kitabu bora cha muda wote kwa masuala ya sasa tukiyaacgilia mbali maswala ya kale na kukiishi sasa na kutohofia kesho
 
Ni sawa kabisa mkuu Kuna kitabu kinabu kinaitwa STOP WORRYING AND START LIVING yaani ukikisoma utaona kabisa maisha ni takataka.
 
Yaani Kuna watu wako hivyo...hawazi kabisa...
Na Kuna wengi kuwaza hakuepukiki
Ndo ilivyo,vilqza wa kufikiri wakisha shiba tu basi.,Smarter akiwa anakula akijua hicho anacho kula kesho hatoeza kukipata basi hata kula hatoeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…